Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
Kuliko Kuwa Vijiweni na Kujiingiza ktk mambo yasiyofaa ktk jamii
Jamani kama kuna kazi yoyote iliyo Harali ktk jamii, Tafadhari Naombeni Nafasi
Nipo Dar, Ni kijana mwenye elimu ya form 4 (nina Malengo ya kujiendeleza endapo nitapata pesa za kuniwezesha kulipia ada)
Mbali na hapo pia nina ujuzi wa komputa hasa basic na adv, vilevile nina uzoefu wa masuala ya uuzaji bidhaa madukani (miaka 2)
Natumaini ushauri au majibu ya busara toka kwenu Ma Great Thinker kwani niko ktk harakati za utafutaji hivyo Msinibeze jamani, siibi cha mtu!!
Ahsanteni!