Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,836
Same to you ni kweli kinachozeeka ni kiwiliwili Roho iko hapo hapo inatamani tu warembo.. Mbuzi MzeeIle kitu haijali umri Maalim Mzizi.
Happy New Year Maalim.
Atamudu tu,utu uzima dawa!Lol! Babu ataweza kweli vurugu za hawa mabinti zake?
Mtoto bado mbichi kabisa,duh!wazee wanafaidi!
Mi si nlishakuambiaga? Madame B hana ujanja mbele ya ODM. Kilainiiiiii (Chondechonde hapa wasisome wake zangu cacico, Yummy, na BADILI TABIA chini ya umonita wa Kongosho wasisome hapa)
sasa huyu babu huu mkono wake wa kushoto amekosa sehemu nyingine ya kuuegemeza? ameona hapo tuu.