Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,520
hahahahaha najua we ndo mwanzilishi wa hili neno,ila vijana bana wanapenda kugegeda tu....nadhani kukosa kazi za kufanya nako kunachangia
ah naona umeanza nawe kutumia neno kugegedana hahaha
kweli kabisa vijana wanataka kugegedana tuuu.
sasa huyu atakuwa hajamfeel kivile ndio maana anasita...she is not ur type physically