Nimeshindwa kufanya mapenzi nini tatizo?

mambo madogo saha kaka vp unatumia mvinyo pia inaweza pelekea niaje au kama ni mtu wa kusaga mirungi Gomba duh kama kote hauko kaka iimbie kasimama dede*2 kasimama peke yake au wimbo wa taifa:israel:bendera lazima isimame
 
ni kawaida na huwa inatokea sana hasa ukiwa umepania kufanya hivyo au umepata demu mkali anaemuogopa hata kumgusa au kufanya kwa shinikizo fulani take it easy na punguza pressure utaweza kukamua tuu
 
Tatizo ni kwamba unavofanya mapenzi kabla ya ndoa mungu huchukia na siku hiyo kadhihirisha hasira zake kwenu.
Fanya toba na usubiri ndoa.
 
Mimi ni kijana wa kiume nina girlfriend ambaye tunatarajia kuishi pamoja Mungu akipenda,,Huwa tunakawaida ya kufanya mapenzi mara moja kwa mwezi,mwezi huu tumekutana lakini maajabu jogoo wangu alishindwa kufanya kazi,tulifanya Romance before na alisimama kama kawaida lakini ghafla akalala na hatujaweza kufanya mapenzi mpaka asubuhi na imepita siku moja lakini jogoo hasimami mpaka nimepanic na Girlfriend wangu hataki hata kunisikia anasema na mcheat lakini ukweli sijafanya hivyo,wana jamii naombeni msaada maana uhusiano wetu mpaka sasa upo majaribuni ni nini tatizo kwani ni mara ya kwanza kutokea?
Mkuu kula mkongoraa heshima itarudi.. Utapiga mzigo mpaka Bupa isuffocate...!
 
hata mechi za mpira mchezaj inabidi aoashe misuli kwanza,tafuta kademu kakupashia misuli mara kwa mara,huwez kukaa mwez mzima bla kufanya mazoez then ukaingia uwanjani ukacheza fresh,then uwe mjanja mjanja kama ronado na uwe na akili ya kutupia kama messi..alaf ucwe napresha ukiwa mbele ya mabeki..
 
ikitokea ukaona imegoma kabisa kusimama basi mwambie demu wako aimbe na mic yaani alambe koni,lazma itanyenyuka,ukiona imegoma hapo,basi andaa mabango upite barabaran kudai ushoga uhalalishwe,.
 
Kilichokutokea ni athari tu za kisaikolojia, hunashida yoyote, ila ni panic tu, mwiite geto siku nyingine na akija usianze kumparamia, anza kwa kupiga naye stori ili hofu uliyonayao iishe na baadaye uanze kama utani kumtomasa na kamwe usilete mawazo ya "hivi itakuwaje jogoo akikataa kuwika?"

jiamini we ni jembe na unauwezo wa kugonga ngozi mpaka atambue uongozi.
taratibu mchojoe viwalo huku ukiendelea kutomasa na wewe jichojoe na endelea kumtomasa, mtanue uingie katikati endelea kumchuchu chuchu, huwa inamacho yenyewe itavutwa. hapo kwishney.

Na endelea ku du naye hata kila siku ikiwezekana ili uweze kujiamini zaidi.

mwee hiki ni kizazi cha ngono yani hadi uasherati unaomba ushauri uwiiiii nani atapona umuoe mapema ili hilo tendo libarikiwe kabisa
 
ikitokea ukaona imegoma kabisa kusimama basi mwambie demu wako aimbe na mic yaani alambe koni,lazma itanyenyuka,ukiona imegoma hapo,basi andaa mabango upite barabaran kudai ushoga uhalalishwe,.
uchafu mwingine puuuu kulamba koni uric acid inapitia hapo afu dada wa watu aaa ewiii
 
Jaribu kutafuta dvd ya X, angalia kwa muda kisha jipime ama jitizame kama mzee kasimama. Piga nyeto ukimfikiria demu wako. Kama hujadindisha baada ya kutizame hiyo dvd ya X basi hapa utakuwa una hofu na huyo demu ama la akili yako itakuwa imesha mzoea na kumuona kama dada hivyo kijana wako anakataa kukasirika kumuonea huruma dada yake. Asilimia kubwa ya matatizo kama haya ni psycholgical (akili) kwani unaweza kumtamani demu na ukisha piga mara moja unaona kumbe si lolote ni sura tu ilikudanganya. Pia kuna wale wenye imani kali kama walokole wanao amini kuwa ukiona hivi basi juwa malaika wako wanakulinda kwa mema zaidi kwani huenda huyo demu akawa dege la jeshi ama atakuja kukuletea madhara mengine hapo baadaye. Kwa hiyo kwa kifupi, wewe mwenyewe ujitizame uhusiano wako na huyo demu. Ukiona anakupa hofu achana nae kwani ukimuoa demu kwa kulazimisha kwa kuwa ni mzuri tu atakuja kukuletea matatizo siku za usoni. Oa ama kuwa na uhusiano na mwanamke ambae una mfeel na yeye ana kufeel, usilazimishe kupenda anayekupa hofu ya kujihisi uko vitani huku ukihofia maisha yako, utapata maradhi ya moyo/pressure.
 
Back
Top Bottom