mm naomba niite "tusubiri kukaribishwa" ndipo tuanze kula hata kama ni mkeo kaandaa meza. tukisema kuomba ruhusa, it sounds like unasema "naomba nile" wakati mazoea si hivyo. meza ikiwa tayari utasikia tu, baba karibu chakula huku ukilengeshewa jagi unawishwe.
pamoja na hizo pongezi anazopewa bwana mnali, mimi nafikiri ameongeza tatizo na wanafunzi wa wilaya yake watafeli zaidi. nasema hivyo kwa sababu, kwa waalim kuchapwa tena mbele ya wanafunzi, imewaondolea ujasiri na authority waliyokuwa nayo kwa wanafunzi wao. waalim wamedhalilishwa na hii...
sidhani kama huyo jammaa ana sound-mind kama wengine walivyosema. ingekuwa ameonyesha hizo nyeti zake kulekule beach kidogo isingetisha sana, lakini kwa yeye kwenda bar mbele ya kadamnasi, inatufanya tusisimke mwili kwa aibu. He must be crazy for sure!
Long live JK, hiyo ndo "Rule of Law and Transparency" tunayoitaka. Tumeshachoka. Jamani wanaJF naomba mzidi kutumwagia uhondo huu maana wengine tuko huku ugenini lakini tunauchungu sana na nchi yetu. Niko Botswana na huwa numia sana kuona nchi hii ambayo inategemea madini aina moja tu diamond na...
Wazee naomba nichangie kidodo hapa.
Mimi nafikiria mafanikio ya mtu kwanza kabisa yanapimwa na namna anavyoweza kukidhi mahitaji ya msingi kikamilifu. utakuwa umefanikiwa endapo mkono unaenda kinywani bila wasiwasi, watoto wanaenda shule bila mikwaruzo, ukiugua na familia yako uhakika wa...
mpaka sasa neno "komputer" ni msamiati sahihi wa kiswahili. ni neno ambalo limetoholewa/ kukopwa kutoka katika kiingereza kama maneno mengine kama vile shati-(shirt), trekta-(tractor). kutohoa au kukopa maneno kutoka lugha nyingine, ni jambo la kawaida na katika lugha zilizo nyingi duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.