Boney E.M.
JF-Expert Member
- Jan 22, 2007
- 425
- 35
Mwendapole I beg to differ with you very seriously. Ile issue ya Tabata undani wake ni kuwa yule Mkurugenzi hakuwa na kosa ila alisukumiwa mzigo na Meya. Tafuta facts then ufikie mahali pa kumwaga sera zako. Mkurugenzi alikuwa wa kwanza kupinga zoezi lile ila Meya kwa kuwa anajuana na wakubwa akaamuru wafanyiwe unyama ule. Its a pity ukweli haukuwekwa wazi hata ile Tume haikuweka hadharani matokeo yao. hii ndio sababu wamempeleka mikoani asiwazibie riziki.