Hoja dhaifu sana hii ndugu!
GPA nzuri haileti uhakika wa utendaji mzuri ktk kazi, biashara, uongozi. Hayo madaraja ya kitaaluma yanafaa tu ktk kazi za taaluma kama ualimu. Maprofesor wangapi wamepewa kazi za uongozi na wamevurunda? Angalia tu hata baraza la mawaZiri la sasa. Wako ma prof, drs...