Recent content by Girima

  1. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO 'NIULIZE MIMI' ni chanzo cha rushwa Hospitali ya Mnazi - (Dar), mamlaka chukueni hatua

    Hili binafsi nakuunga mkono nilienda pale kwa ajili ya kupeleka barua yangu ya medical form kwa ajili ya ajira ,aiseeh! ilikuwa mikiki sana yani nikawa navutwa na huyu mara yule ili nitoe hela kwa jili ya kusaini form yangu nilivyosema nakiasi fulani,kila mtu akaanza kuniona adui ,mara kpange...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Siyo kweli hizo kazi ulizoona ni za mikataba as per project siyo permanent jobs Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuhama kada na taasisi

    MSHAHARA unaenda kufuata scale ya taasisi unayoenda kufanya kazi ( taasisi mpya) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ngoja tuendelee kuomba ,Mungu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nasikia ni afya tu ndo wamerambishwa asali kwa nafasi ambazo watu walikuwa hawajaripoti bado ,na zingine ambazo zilibaki kwa upànde wa afya
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Web status,inasoma Shortlisted for oral interview
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Selected for oral ,green
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu! Kama umefanya Oral tu na haukufanya written,unawezà ukawa pia kwenye database Kama ulifaulu Oral?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera Sana , Mkuu! Kwa kulamba asali.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera Sana,kwenye Majukumu ya Utumishi,Mungu ni mwema
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    One ya point 14 ,ukaingia udsm form six ,ndo naiskia kwako[emoji854] Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

    All are the best to their time
Back
Top Bottom