Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

Udaktari ni fani ya wito na Engineering ni business professional
 
Engineer atakayejiajiri ana nafasi kubwa yakutengeneza pesa nyingi kuliko Daktari,pia ikumbukwe Engineer kujiajiri ni rahisi ukilinganisha na daktari
 
ticha ndo alipwe mara5 ya hao wote, bila ticha hakuna cha daktar wala injinia.
 
engineer ndio anatengeneza citi scan, mri na vipimo vyote wanavyotumia madaktari..

bila engineer daktari hawezi ona ugonjwa mwilini
 
Engineer atakayejiajiri ana nafasi kubwa yakutengeneza pesa nyingi kuliko Daktari,pia ikumbukwe Engineer kujiajiri ni rahisi ukilinganisha na daktari
nipe sababu za kusema engineer kujiajiri ni rahisi kuliko daktari??
 
nipe sababu za kusema engineer kujiajiri ni rahisi kuliko daktari??
Haitaji mtaji... mfano me ni engineer naweza kuwa na ujuzi wangu.. nikatafuta mafundi wangu.. nikipata mradi mmoja tu.. unatosha kutoka kabisa..
hakuna daktari anayemaliza shule na kufungua hospital.. ila engineers ukimaliza chuo unaweza kufungua kampuni yako..ukasajiliwa pale CRB kwa ada ndogo...ukatoka faster.. sasa wewe daktari hadi ufikie hatua ya kuwa na hospital yako me ntakuwa tajiri wa kutupa..

Mradi mmoja tu unatosha kumpa utajili engineer.
 
Ukitaka kitu ikulipe zaidi kua mfanyabiashara ya kitunguu inalipa sana utakua na pesa mingi sana. Au uwe patner wa jj mwaka
 
Labda uwe hujui maana ya kulipa lakin kila mtu ana uhitajikaji wake hata mzibua vyoo inamlipa. Imagine costumer sastification kubwa inapatikana kwa mtu mmoja kuridhia huduma au watu wengi? Chukua mfano wa chember kuziba ya mavi au mtu mmoja kutibiwa??
 
Hiv swali limeuliza kuwa ni fani ipi inaheshimika au ni ipi inayolipa vzuri?
 
Lawyer/Advocate ndio kila kitu, heshima juu lakini taaluma nyingine hizo njaa tu kama mhandisi mpaka uibe misumali na chokaa, naye dokta mpaka uibe panadol na pamba za wagonjwa ndo upate hela.
Na mwalimu aibe nini sasa chaki au hahahaha
 
mnajaribu tu kustuastua eti dr na eng yan hiyo taaluma ya udokta acheni kama ilivyo halafu ni kama fedhea me naona kumuweka dr na eng eti wachuane kwnza eng hafui dafu hata kwa mwalimu wa primary!!
VIP pia kuusu pharmacist,doctors,engineer??
 
Back
Top Bottom