brianevarist
Member
- Jun 29, 2022
- 38
- 56
Kikubwa pumzi na stamina tutapungua mtaan kwa motoDah wasafishe bas na database ya PSRS kwangua yoteeee yanii asibaki mtu[emoji28][emoji28]
Kikubwa pumzi na stamina tutapungua mtaan kwa motoDah wasafishe bas na database ya PSRS kwangua yoteeee yanii asibaki mtu[emoji28][emoji28]
Kabisaaa iko waziiKikubwa pumzi na stamina tutapungua mtaan kwa moto
Alafu database ikiisha watupe taarifa, tusije tukawa tunasubiri meli stendi ya mabasi😄Dah wasafishe bas na database ya PSRS kwangua yoteeee yanii asibaki mtu😅😅
Na kweli leo lazma kiwake majobles tupungue kitaa.😅😅😅 wakiona hii post lazima waachie mzigo😅😅 sio kuwapamba huku 😅😅
😅😅 hapo ss ndo shughuli ilipoo 😅Alafu database ikiisha watupe taarifa, tusije tukawa tunasubiri meli stendi ya mabasi😄
Watu wengine wahuni tu mkuu usimuamin kila mtu humu jf....mtu senior huku kijiwe cha jobless anatafuta nn kama sio kupigana virungu mchana kweupee [emoji2960]
Ngoja tuendelee kuomba ,MunguMatumaini yapo mwamba ,kikubwa endeleza maombi kwa sana.
Kweli vijana kipindi hiki cha mama tumekumbukwa, mama hana baya.Kongole kwa bi mkubwa amejithidi kutoa ajira kwa vijana
Dah......Na sekta nyingineChuma hikoView attachment 2734523
IT OYEEEE... 👏👏Kabisa samia oyeeeee.. Katibu mpya😄 oyeeee psrs oyeeeeeeeeeeee
IT OYEEEEEEEEEEE. 💥💥💥 PDF Ijeeeeeeeee
Za ndaaanii... IT yuko PAJE anagida asali nae ( Padiem) msijali vijana pdf litakutoka refuuuu kufidia siku la kuchelewa lkn..😃kwema kabisaa vijana wanaashiria kukata moto.
Wamepunguza kasi ya kusukuma uzi wao pendwa.
Msiwazee makamanda wangu leo uhakika IT hawezi kutusalitiii💥💥💥 saa kumi sizani kama itafika.
IT Ni mtu wetu. 💪💪👊
Yaani IT anapelekewa Pumzi ya Moto Mpaka Akishikq Kompyuta anaona ya motoKabisa samia oyeeeee.. Katibu mpya😄 oyeeee psrs oyeeeeeeeeeeee
IT OYEEEEEEEEEEE. 💥💥💥 PDF Ijeeeeeeeee
Kwahyo tangazo tulipotezeeHakuna uhitaji wa kiasi hicho mzee, tangazo lao harisi ni la transfer vacancy
Hilo nahisi wahuni wame edit tu
Changamkia fursa ila hakikisha wewe usije kuwa ndio FUSRA yenyeweKwahyo tangazo tulipotezee
Hahah duuh hapa kwa jobles hawapati kitu kama ni wahuniChangamkia fursa ila hakikisha wewe usije kuwa ndio FUSRA yenyewe
IT yupo kazini bhn leo kwenyewe kapost matangazo kama mawili kwenye call for int...Za ndaaanii... IT yuko PAJE anagida asali nae ( Padiem) msijali vijana pdf litakutoka refuuuu kufidia siku la kuchelewa lkn..😃
Feki mkuuKwahyo tangazo tulipotezee
Anytime ataachia mzgo w plcementIT yupo kazini bhn leo kwenyewe kapost matangazo kama mawili kwenye call for int...
Uliosheheni nyomi la datbase 👌Anytime ataachia mzgo w plcement