Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,022
- 3,434
Huu Uzi kwema
kwema kabisaa vijana wanaashiria kukata moto.Huu Uzi kwema
Kazi nzurikwema kabisaa vijana wanaashiria kukata moto.
Wamepunguza kasi ya kusukuma uzi wao pendwa.
Msiwazee makamanda wangu leo uhakika IT hawezi kutusalitiii[emoji95][emoji95][emoji95] saa kumi sizani kama itafika.
IT Ni mtu wetu. [emoji123][emoji123][emoji109]
we jamaa😳Chuma hikoView attachment 2734523
Kwanza status yako upande wa app inasemaje?Wakuu! Kama umefanya Oral tu na haukufanya written,unawezà ukawa pia kwenye database Kama ulifaulu Oral?
Selected for oral ,greenKwanza status yako upande wa app inasemaje?
Kumbe afya na ualimu wamerambishwa tena asali?Chuma hikoView attachment 2734523
Web status,inasoma Shortlisted for oral interviewKwanza status yako upande wa app inasemaje?
Vijana wa samia mwaka waoDuh
Kumbe afya na ualimu wamerambishwa tena asali?
kumekucha sasa status😄Kwanza status yako upande wa app inasemaje?
Nasikia ni afya tu ndo wamerambishwa asali kwa nafasi ambazo watu walikuwa hawajaripoti bado ,na zingine ambazo zilibaki kwa upànde wa afyaDuh
Kumbe afya na ualimu wamerambishwa tena asali?
Dah wasafishe bas na database ya PSRS kwangua yoteeee yanii asibaki mtu😅😅Vijana wa samia mwaka wao
Ahaa dah sfi sn hongera kwaoNasikia ni afya tu ndo wamerambishwa asali kwa nafasi ambazo watu walikuwa hawajaripoti bado ,na zingine ambazo zilibaki kwa upànde wa afya
Matumaini yapo mwamba ,kikubwa endeleza maombi kwa sana.Selected for oral ,green
😅😅😅 wakiona hii post lazima waachie mzigo😅😅 sio kuwapamba huku 😅😅Kabisa samia oyeeeee.. Katibu mpya😄 oyeeee psrs oyeeeeeeeeeeee
IT OYEEEEEEEEEEE. 💥💥💥 PDF Ijeeeeeeeee
Subiri Asali kwa maafikiano ya jobless walio wengi😄Web status,inasoma Shortlisted for oral interview