Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali mpeenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.
Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu...