Afrika Kusini Vs Afrika

Afrika Kusini Vs Afrika

Yani ni ivii inatakiwa kupigwa na wao piaa?? Ila sujui kama balozi wa south ndugu Lowasa anafanya nn?? Zimbabwe yenyewe inawarudishaaa tz wapiuu.... Ila ushetanii
 
Kwa nchi kama ya kwetu hatuna uwezo wa kufanya kama wanigeria.Sisi hawa makaburu ndiyo wameshika uchumi wa Tz.Hivyo ukisema fyoko nchi itayumba.Nigeria ni tofauti yapo mataifa mengi yamewekeza pale.Hata hivyo kama ni uhasama uwe kwa hao weusi wenzetu maana ndiyo wauaji wa ndugu zetu kule kwao.

Hizo ni fikra zako tu, huwezi kujidhalilisha eti utakufa maskini kwa watu wenye roho mbaya kwako, liwalo na liwe serikali itoe tamko kali na ndugu zetu waendewe warudishwe hapo rais jk aongea direct na huyo Zuma kuokoa watu wetu,
 
kwanni tusiutimue ubalozi wao hapa nchini????
kwanni tusizuie wananchi wao kuingia hapa nchini????
na kwanni tusiwatimue wananchi wao waliopo hapa nchini??????
 
Ukiwatazama wasouth Africa wengi wanaile ya kusema wao ni Wasouth Africa na sio Waafrica kwa sababu ya miundombini ya kiuchumi.
 
kwanni tusiutimue ubalozi wao hapa nchini????
kwanni tusizuie wananchi wao kuingia hapa nchini????
na kwanni tusiwatimue wananchi wao waliopo hapa nchini??????

Co kuwatimua tuuu tuwatifueee kidogo na sisi ili waone uchungu kidogoo
 
Back
Top Bottom