Hebu mpe ushauri huyu binti

Hebu mpe ushauri huyu binti

Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali
Mpenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda
#Nushaurini je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza

tafuta mwingine Twitter na usimwache yule yule wa Badoo.

shame on you
 
Umemsahau na yule muza chips na mm mpaka rangi au ndio umeshatutosa na umeshakula vyetu
 
bado u binti mdogo, jiheshimu si kila mwanaume ni wa kuvulia nguo. Usishawishike kwa maneno yao. Jitulize kwa mmoja acha tamaa mdogo wangu kama umeshindwa kuvumilia,
 
Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali mpeenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda. je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza
.

Ushauri tafadhali

Shkamoo Facebook na Instagram looh!!
 
Wa Jf haujapata bado? Au ndo unatoa tangazo?
 
Hufai kbx ww, una miaka 3 uko nae, wa inxstagram na facebook_wamekuona uking'aa kwa ma2nzo ya jamaa!! acha ujnga bint! "Yaan ukimuacha huyo jamaa "Utaixhia kuxagwa mbuupuu 2 mpaka ukongoroke,, USHAURI WANGU; Wa Inxtagram piga chini na wa FB piga chin "komaa na mxhikaj %¥NAWAXILIXHA
 
Mbona unaomba ushauri mambo ya kisenge ? Hivi kwa akili yako hilo nalo lina hitaji ushauri! Et ana nihudumia kila kitu ; we mbuzi kinoma.
 
Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali mpeenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda. je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza
.

Ushauri tafadhali

Unamatatizo na unataka kufa heri nusu Shari kuliko Shari kamili
 
Ongezea na wa whatsap, viber, tango na imo... mana inaonekana una pepo na social networks!
 
Kama ungekua unampenda sana huyo mpenzi wako kama unavyodai wala uaingeitaji ushauri, tatizo ni umri wako bado hujajua unahitaji mw anaume wa aina gani
 
Kama ungekua unampenda sana huyo mpenzi wako kama unavyodai wala uaingeitaji ushauri, tatizo ni umri wako bado hujajua unahitaji mw anaume wa aina gani, hebu tulia na kijana wa watu anaekujali usidanganyike na hao wanaokuja kwa kasi wakiimba kukupenda, wahenga walisema siku moja utakuja kugundua ulipoteza dhahabu wakati ukiwa busy kuokota mawe.
 
No reality acha kuleta mada ambazo hazina mbele wala nyuma wewe.kumbuka humu ni maintellectualls bana
 
Itisha kikao cha ukoo wenu akiwepo baba yako, mama yako na wachumba zako woote halafu mjadili, mkifikia muafaka tuletee hapa JF ndipo tutakushauri vizuri.....punk..........a.............c........s........e............e........e
 
Inaonekana uliye naye ni kimaslahi zaidi. huna mapenzi naye. Fuata moyo wako unachikutuma.
 
Nshakusoma unasaka bwana kwa kusingizua mitandao ya jamii k,.m, y,ko
 
F....A...L...A...W..E..W...E
Inaonyesha Wazi Wakati Wa Kuzaliwa Ulitanguliza Miguu Badala Ya Kichwa! Haba Jf Si Pahala Pakuleta Maada Za Kisengekisenge Kama Hizo! Kama Vp Huo Upuuzi Waeleze Hao Unaowapata Kwenye Hiyo Mitandao!
 
Back
Top Bottom