Huko wilaya ya Mlele Mkoani Katavi askari wa TAWA wamedaiwa kumpiga mtu mmoja na kumsababishia umauti baada ya kumkuta porini.
Baada ya kumpiga vibaya wakampeleka kituo cha polisi cha Inyonga wilayani Mlele.
Walivyoona atawafia kituoni wakampeleka hospital kupoteza ushahidi. Yaani mtu amefia...
Baada ya matokeo ya Yanga ya goli 5-0 kwa mechi mbili mashabiki wengi wa yanga hata wa Simba pia waliamini kuwa msimu huu Yanga anaweza kumaliza ligi bila kufungwa.
Lakini mapema tu wamedondosha points,tena kwa yule yule aliyevunja mwiko wa unbeaten.
Kwa mtazamo wangu matokeo ya jana yamefanya...
Ikiwezekana Nasari achapwe na viboko kwa kosa la uzembe wake. Na Mashinji nae achapwe viboko vyake kwa kosa la kushindwa kumfuatilia Nasari nyendo zake mpaka akavuliwa ubunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila kitu ni kulaumu tu, unakumbuka wale vijana 12 na mwalimu wao waliozingirwa na maji Thailand ilichukua muda gani kuwaokoa? Na kwa hali ilivyo humo hakuna mtu aliye hai labda kwa miujiza tu.Kwenye mafunzo ya huduma ya kwanza unashauriwa kujilinda kwanza wewe mtoa mhuduma ndiyo utoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.