Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Una uhakika gani hatujamuweka sehemu salama?Hata mimi nilishitukia ile ni clip. Vinginevyo sasa hivi tungeambiwa yupo chini ya ulinzi kwa kumdanganya mheshimiwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app