Duh! Uzi mrefu kiasi
Mwishoni mwa mwa mwaka 2011 karibia na kipindi cha msimu wa sikukuu nikiwa nasubiri majibu ya mtihani wa kidato cha nne. Nilikuwa naishi na bibi yangu katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nilikuwa napenda sana kujifanya msela na kuiga uhuni kampani yangu kubwa...
Wakuu, msaada wale watumiaji wa sportybet kwanini nikiweka hela inajidouble kwa mfano nikiweka elfu kumi kwa odds 3 inajidouble x2 inaandika elfu 20 halafu winning amount unakuja 29000 yaani elfu ishirini kwa odds 3 inakujaje 29000? Au ni vipi naweza nikaitoa iyo double?
App yao...
Ni kweli Korea kaskazini na Korea kusini ni nchi ambazo zipo eneo moja kijiografia lakini huwezi kuzifananisha kimaendeleo kwa muktadha wako,
Korea kaskazini na Korea kusini
ni kama mabondia wawili wanaopigna lakini mmoja kafungwa mikono ambaye ni Korea kaskazini na mwingine hajafungwa ambaye...
Country codes are assigned per
region by International telecommunications union (ITU) na ni kutokana na makubaliano tu
-North America +1
-Africa +2
-Europe +3 & +4
-Latin America +5
-Australia, Malaysia, Philippine, Singapore and Indonesia +6
-Asia +7, +8 & +9
-
Unapata shaka na nini mkuu, wasichana wengi washapinda wanaanza ngono kabla hata hawajabalehe, ndio maana kuna mwingine juzi alikuwa anauliza kama msichana bikra anapata 'bleed'..hii yote wanaanza kufumuliwa tokea utotoni.
Hapa kitaa kuna katoto kana miaka 11 kapo darasa la sita ukikaangalia...
Hapana, nimejaribu kuangalia reaction ya warusi (hasa kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi) kisha nikajaribu kuunganisha tofauti ya akili zao na wabongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.