URUSI: Begi lenye viganja 54 vya binadamu labainika katika barafu

URUSI: Begi lenye viganja 54 vya binadamu labainika katika barafu

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
sei_2597650-e1520530418428.jpg

Katika hali ya kushtusha begi lenye viganya 54 vya Binadamu wanaodhaniwa kuwa waliuawa kikatili labainika huko katika Jiji la Khabarovsk Mashariki ya mbali mwa Siberia karibu na mpaka na China.

Mpaka sasa zimekuwepo dhana kadhaa zinaoelezea tukio hilo huku baadhi ya watu wakisema kuwa viganja hivyo vimekatwa kutoka kwa mwezi

Na wengine wakidai kuwa vilikatwa kutoka katika miili ya watu waliouawa ili watolewe viungo vya miili yao

Na wengine wakidai kuwa vimekatwa kutoka katika miili inayotumika kwa majaribio na mafunzo ya kitabibu

======

sei_2597650-e1520530418428.jpg

The shocking find was made close to the city of Khabarovsk in the Far East of Siberia, close to the border with China.

All but one of the 54 hands were in a bag. Another, spotted first by a local, was lying separately on an snow-covered island in the Amur River around 18 miles downstream from the Russian frontier with China.

The sinister find was laid out in the snow for a police picture

2.jpg

They were located at a popular fishing spot, but locals said they had seen nothing suspicious. The Siberian Times reports there is a ‘mystery over who the sinister hands belonged to, when they were chopped off – and why’, Dwarf boxing bar slammed as 'insulting' by campaigners Fingerprints were only found on one hand, and the others are being checked.

One gruesome theory is that the hands could have been axed off as a punishment for theft. Another is that the hands were severed from dead bodies in a hospital, but it is unclear why this would happen.

One fear is that the corpses were illegally used for stealing body parts and the hands were cut to prevent bodies being identified afterwards.

Local media reported that medical bandages and hospital-style plastic shoe covers were found next to the remains. ‘It is a sickening sight,’ said a local source. Police have refused to comment on the case.

Source: METRO
 
Wachukue fingerprints ili kuwatambua wahanga kwanza then investigation will start from there.
 
Nawaza tu, ingekuwa bongo imetokea hii kitu huu uzi ungekuwa ushagonga triple platnumz replies hapo Magufuli ashatukanwa kila aina ya tusi , TISS wangekuwa hali mbaya almost kila mtu behind the keyboard angejifanya anaju jinsi hao watu walivyokatwa mikono
 
Kwani hujui mkiwa na rais mpumbavu hubadilisha mawazo ya anaowaongoza yawe kipumbavu pia???
 
Russia Government under supper bastard Putin is hell like others hell, Over.
Haujui ukisemacho bora unyamaze ule maandazi yako na soda ukalale. Humfahamu vizuri Putin ni nani hata kidogo. Endelea kushabikia hao wamagharibi na wamarekani wako ipo siku utakuja kujua who Putin is?
 
Nawaza tu, ingekuwa bongo imetokea hii kitu huu uzi ungekuwa ushagonga triple platnumz replies hapo Magufuli ashatukanwa kila aina ya tusi , TISS wangekuwa hali mbaya almost kila mtu behind the keyboard angejifanya anaju jinsi hao watu walivyokatwa mikono
Unataka matatizo ya Urusi yafute upuuzi unaofanyika hapa kweTU?
 
Unataka matatizo ya Urusi yafute upuuzi unaofanyika hapa kweTU?
Hapana, nimejaribu kuangalia reaction ya warusi (hasa kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi) kisha nikajaribu kuunganisha tofauti ya akili zao na wabongo
 
Hapana, nimejaribu kuangalia reaction ya warusi (hasa kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi) kisha nikajaribu kuunganisha tofauti ya akili zao na wabongo
Wameshazoea watu kupotezwa huko kwao na Regime,Yaani hadi mtu anakula shaba mbele ya Ikulu(Kremlin) ujue watu walishazoea mauaji,na wala sio kwamba wanapenda.So kama unataka na bongo tuzoee mauaji hilo ni swala jingine.
 
Huku kwetu tunaokota kwenye viroba! dah au mmesahau!?
 
Back
Top Bottom