Nani aliyegawa code number za nchi mbalimbali?

Nani aliyegawa code number za nchi mbalimbali?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,786
Nimejaribu kugoogle sijapata jibu, ni nani aliyegawa hizi code za kila nchi mfano Tanzania 255, Uganda 256 n.k ni nani aliyetupatia? au zimepatikanaje?

Elimu kidogo, maana kuna vitu tunaulizwa na watoto wetu halafu hatuna majibu.
 
International Telecomunication Union ndio ilipanga hizo dialing prefixes kwa nchi wanachama.
 
Ilikua ni kuwahiana tu kama tulivyokua tunawahi madawati unapoingia darasa jipya ile january
 
Country codes are assigned per
region by International telecommunications union (ITU) na ni kutokana na makubaliano tu

-North America +1
-Africa +2
-Europe +3 & +4
-Latin America +5
-Australia, Malaysia, Philippine, Singapore and Indonesia +6
-Asia +7, +8 & +9
-
 
Nimejaribu kugoogle sijapata jibu, ni nani aliyegawa hizi code za kila nchi mfano Tanzania 255, Uganda 256 n.k ni nani aliyetupatia? au zimepatikanaje?

Elimu kidogo, maana kuna vitu tunaulizwa na watoto wetu halafu hatuna majibu.

Muzungu!
 
Back
Top Bottom