Recent content by giftiltoz

  1. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

    Kule kiteto bei ya gunia la mahindi sh 18000 + kumbembeleza mnunuzi
  2. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Misafara yenu mnakimbia speed 200, mimi nikikimbia Speed 120 mnanimulika Tochi. Ni uonevu

    Mi nikimuona askari barabarani kwa kweli napataga mshituko,nawachukia sana
  3. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, hivi mkeo au mmeo ana mapungufu yapi?

    Hivyo vitakua vibwagizo tu vya mapenz au aina ya mapenz yenu kununiana kupigana kunusana alaf ya jasho. That's love
  4. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, hivi mkeo au mmeo ana mapungufu yapi?

    Jitafakari chukua hatua
  5. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, hivi mkeo au mmeo ana mapungufu yapi?

    Kama mwenza wako anamapungufu na bado uko nae sidhani kama hayo ni mapungufu kwako.
  6. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

    Voda fasta
  7. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Nasubilia call yako kwa hamu sana
  8. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mnyika umesusa Jimbo na Siasa?

    Kashapata mtaji muache akafanye mambo yake, waingie wengine
  9. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa

    Karibu
  10. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Tsh.250,000/=

    Nenda kamuone mbunge wako ni sehem ya majukumu yake
  11. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Kairukia yeye anadaimpango wa kupandisha madaraja na increment upo sio kupandisha mshahsra kwa maana ya kubadili kima cha chini chs mshahara ndio ambacho hakipo kwahiyo ambao hawako kwenye mpango wa kupanda madaraja watasubili sana
  12. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi watengeneza kinga mpya ya mwili inayoweza kushambulia 99% ya HIV

    Hivi hawa jamaa cancer ndio imewashinda kabisa. Karne ya sasa ukimwi sio ugonjwa wa kutisha
  13. giftiltoz

    JamiiForums Tanzania Nauza nissan xtrail mil9.5

    Shusha bei hizo gari zinafaahamika kwa kuleta msongo wa mawazo
Back
Top Bottom