Natamani kuolewa

Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki na ruge
 
Dini yako tafadhali maana ni muhimu ili tujue mapema....
 
hahhaha sijui kwann nimecheka
Usicheke maana tusio na degree tunanyanyapaliwa wakati suala la degree ni man made yaani leo nina certificate na kesho nitakuwa na degree hivyo mtie moyo bidada angalau hapo kwenye degree aongeze kwamba walio na nia ya kujiendeleza watakuwa considered pia ili mwaka huu niingie diploma kwa kasi
 
hahhahha ni kweli !nadhan nimecheka neno AMAZON
 
Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu pm
 
Hello dada hbr yako,kama hujapata mtu au mume ni check inbox pls
 
AIIII sina degree me mkulima jamani sikusoma,kumbe na kwenye kuoa kuna degree?Najilaumu mimi
 
Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unatamani kuolewa.....na si kutaka kuolewa.....
Haya endelea kutamani..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom