Tuwe wakweli, hivi mkeo au mmeo ana mapungufu yapi?

Tuwe wakweli, hivi mkeo au mmeo ana mapungufu yapi?

Muda mwingine kama mnafanya research muwe mnatuambia tuwasaidie na sio kuwa mnakuja na maswali ya kutuchora
 
Halafu ukashayajua mapungufu yw mke wangu itakusaidia nini? utakuja kuyarekebisha wewe?
 
Halo asubuhi ikoje huko,?

Naelekea kwenye mada moja kwa moja,

Najua hakuna binadamu aliyekamilika,
Kila mtu ana mapungufu yAke

Mwenzangu ana mapungufu haya
1. Mkikorofishana ananuna siku nzima hata kwa kitu kidogo zaweza pita hata siku tatu,

2. Tukikorofishana ukimbilia kuniblock whatsap na kuniweka blacklist kwenye calls za kawaida ,nami nikikausha anakuja mwenyewe baada ya siku kama tatu, atapiga eti "nimeona missed call yako unasemaje haha dah"

Au atatuma empty Sms kusikilizia kama ntauliza,


3. Hataki niwape marafiki zangu hela yaan hataki mpaka nijifiche au niwape kwa kuficha,


Je wa kwako ana mapungufu yapi?
Nathan nadhan hujatumia busara. Si vizuri kuanika mapungufu ya mwenzio nje. Si kitu chema, una mengi ya kujifunza kaka.
 
Kuna demu nimempiga sound hata bado sijamchakata analeta njaa za kiduanzi. Anaomba mteze joni rungu (10k) kabla hata sijaona ndani, sijui ndio akili gani chafu hivyo!
 
Kuweka madhaifu ya mwenza wako hadharani ni upunguani.
 
1. Hataki nioge.

2. Hataki nile

3. Hataki niende kazini.

4. Hataki tufanye tabia mbaya chumbani.

5. ila anataka nilale nje hata siku 2 hivi.... [emoji4] [emoji119]
 
Kama mwenza wako anamapungufu na bado uko nae sidhani kama hayo ni mapungufu kwako.
 
Hivyo vitakua vibwagizo tu vya mapenz au aina ya mapenz yenu kununiana kupigana kunusana alaf ya jasho. That's love
 
Back
Top Bottom