Embu funguka, umemsevu mchepuko wako kwa jina gani?

Msg ikikutwa unasema ah hawa watakua wale wanaokoseaga nambasas usiombe msg iwe na jina lako.
Ndo mana mi siku izi nikiandika msg namtaja na jina ili hata akiwa anajitetea huko asiseme msg imekosewa,inakosewaje na jina!
Daaah alafu hao watu walitusaidia sana yaani mchepuko unakutext baby kesho tunatoka out uko sebureni utakavyotukana jinsi jamaa wanavyobuni namba ..

Jina si ntasingizia kaangalia kwenye miamala ya pesa kama ni tigopesa ua mpesa
 
Hahaha weee msg ikiwa na jina hata jins ya kujitetea inashindikanakama mi huwezi niambia et kaangalia mpesanakwambia patageuka mererani,patachimbika bila jembe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hahaha weee msg ikiwa na jina hata jins ya kujitetea inashindikanakama mi huwezi niambia et kaangalia mpesanakwambia patageuka mererani,patachimbika bila jembe
Weeee sikia unaisoma kwanza na kuimeza huku ukiwaza kuitendea kazi alafu sasa matusi utakayoporomosha hapo kwa mama la mama ...utasikia vyuma vimekaza kweli mpaka huyu mpumbavu sijui nani anafowad sms ....ngoja nizifute sitak ujinga mm
 
Back
Top Bottom