Recent content by Ghati Makamba

  1. G

    Mhadhiri Bakari Mohammed wa Mzumbe University amjibu JK kisayansi!

    Jambo hili ni jema mno, maana ukweli ni kwamba watanzania wengi tumefanywa waamini wazuri. Kila linalosemwa tunaitika "DAIMA NA MILELE". Haya mawazo yenye hoja nzito hivi, kwa nafasi kubwa nilitegemea kuyasikia toka kwa watu wenye mawazo mbadala, lakini nadhani walimezwa na sauti kubwa tena za...
  2. G

    Obama afurahia weekend kitaa

    Duh! kwa hili hongera. Nimekukubali kwa uwezo wako wa kutumia hiki kifaa.
  3. G

    Tarime, Tarime yangu.

    Tarime, Tarime yangu, Tarime unapendeza, Tarime mekutwa fungu, Ufanisi kuongeza, Rorya pasipo majungu, Ulipaswa kupunguza, Tarime maisha bora, Kabisa yawezekana. Mito, ziwa migodi, Tarime yote unayo, Mbuga, mabonde na milima, Tarime haki unayo, Hata ngano ungelima, Tengeneze wako mvinyo...
  4. G

    Mahakama:Mali za Mtikila zinadiwe

    Kuna vitu ambavyo wanadamu ni lazima tuvikumbuke na kuvichukulia kwa uzito unaostahili. Mtikila anaitwa Mchungaji, kila kukicha yeye na majalada yake uelekeo mahakamani, hiyo huduma ya Kimungu anatoa saa ngapi? ama ndiyo kusema anawatangazia walipo pale neno la Mungu kwa mfumo anaoujua yeye...
  5. G

    Madee amekufuru!

    Utashangaa hawa wasema ovyo eti ndio wanaitwa wasanii wa kizazi kipya!! Kizazi kipya? Aibu kwao! Usanii wa ajabu ajabu tu, kuvaa milegezo na kuigiza maisha wasiyoyaweza.
  6. G

    somo halieleweki

    Mungu wangu!! inatia huruma kuangalia.
  7. G

    Matokeo ya Utafiti: Kikwete, Freeman Mbowe, Zitto, Killango, Jerry Silaa na Dr Slaa

    Kama wananchi wote wangekuwa na uwezo wa kusoma hapa JF basi ghafla CCM ingepoteza sifa mbele ya wananchi pasipo kujua nini hasa sababu ya msingi kama lililofanyika kwa mzee F. Sumaye. Tunashindwa kujadiri uhalisi wa mambo na badala yake tunaingiza hisia binafsi. Tutafika, lakini safari yetu si...
  8. G

    Kikwete amefanya nini??

    Nakubaliana na wewe juu ya uhuru wako wa kutoa mawazo kama raia huru. Ninachokuwa kinyume na wewe ni juu ya matumizi ya uhuru wako wa mawazo ukielekea upande mmoja. Pengine nifahamu unatoa mawazo yako kuonesha mapungufu ya Kikwete ama unautathimini utendaji wake yeye na serikali yake kwa ujumla...
  9. G

    Maisha Plus nyuma ya pazia!

    Ni utumwa kuamini kuwa mwanamke hawezi isipokuwa kwa kutoa ngono, tena hii ni dhambi. Huyo kp ndiye anayempigia kura Neema aendelee kuwapo kijijini? "Jambo ulilolijengea mtizamo hasi, anayejaribu kukubadilisha anapoteza muda wake" Tafadhali tuioneni miili ya hawa wenzetu kuwa inasitahili heshima.
  10. G

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Siasa haina maana ya uhasama! Fikra ya kujipendekeza ama kupendeleawa ni mitizamo tu, maana ninaamini Mrema siyo mwanasiasa wa kwanza kupewa msaada wa matibabu na Rais.
  11. G

    Kikwete agoma kutoa misaada ya Ambulances; Ikulu yaboronga!

    Yote yapaswa kuwepo, lakini kwa hili, Rais ameonesha ukomavu katika kumbukumbu. Hongera Rais!! usikubali vipovu hawa wanaokusaidia kila leo wakuingize katika matatizo.
  12. G

    Mwalionaje hili la kupongeza hadharani Polisi walioua?

    Tunachopaswa kufahamu ni kwamba mlinda usalama yeyote anayebeba silaha na kusimama ama kutembea nayo, awe aliwahi kuua jambazi au raia mwema ama hajawahi, mbele ya Jambazi ni Adui! Jambazi anauwezo wa kulipa kisasi dhidi ya mlinda usalama yeyote yule kwa kuuawa kwa mwenzake. Kuonekana kwa hawa...
  13. G

    Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

    Sarungi, jamani Philimon Sarungi!!!! Nadhani haihitajiki kuingia tena kwenye mapendekezo. Kwa kofia ya Ubunge kupitia majimbo tofauti tofauti hapa nchini, amezunguka karibu kila wizara, sina uhakika kama amekoswa uwaziri awamu ya nne kwa sababu hakuwa mwanamtandao ila kwa umri wake lazima angebaki.
  14. G

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Mwaka jana mwishoni ililetwa hapa mada juu ya ubora wa shahada wanazotunukiwa watu wanaosoma chuo kikuu huria, eti wanalala jioni-asbuhi na pale mtu wa chuo kikuu cha dar es salaam anabanwa na mwalimu juu ya supp!! Binafsi nilijiuliza maswali mengi sana. Hili la masomo ya ziada kwao, linazusha...
Back
Top Bottom