yamkini hakuwa ametoka kwa mwana mke na kwa kuwa hukumkuta kwenye kitendo vumilia. endelea kumpa mapenzi ya kweli. La msingi zaidi jitaidi kumshawishi afanye mapenzi nawe mara nyingi zaidi ili akienda nje awe amechoka. jiongeze ili akitoka nje awe amechoka
Kwani uke uluotoa mimba na amboa haujatoa unatofauti.? we mzalishe watoto unaotaka kwanza. Kumwacha ni hasara nyingine. Ukishamaliza kuzalisha watoto wanaokutosha. Anza kufuatilia. Hata ikitokea mmeachana hutapata hasara kwani ushakuwa na watoto wakutosha. Ukimwacha gafla garama yakuoa ni kubwa...
Kiukweli angekuwa msafi msingepoteza muda kumtetea anafaa .acheni matendo yake yamhukumu kwa wananchi. Tusiendelee kuwapoteza watanzania. Huyu Lowasa hafai hata kuwa mlinzi Ikulu. Na wote wanaomuunga mkono wana maslai binafsi na hawawatakii mema raia wa TZ. Atuambie kwanini anatumia hela nyingi...
watanzania tutakuwa wanafiki na wPumbavu san kama tutamchagua Manywele kuwa raisi. Miaka michache tumemtoa kwa kigezo fisadi kiwembe aliyeshindikana .sasaawe lulu aje awe kiongozi weru. ? Hakika tutakuwa wote mafisadi
Ila katikahili kama wa Yanzania hatuwatoa hawa CCM BASI. Wengi wetu ni wapumbavu kabisa. Na tuwndelee kuteseka. Sisi waj9nga sana .tuamke pumbavu zetu.
Wakuu mbona pesa zilizoibwa ni nyingi .321 alafu majina na kiasi kilichogawiaa ni kidogo.? Pesa nyingine akina nani wame chukua. Maenye majina atupe tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.