Nimeona ajabu kwa mke wangu

Nimeona ajabu kwa mke wangu

Umeshasema mke tayari wewe songa nae mbele tu kama mimba alizitoa kabla ya kumwoa wewe inakuhusu nini, unless kama ungekuwa hujamwoa hapo sawa unaweza ukawa unaogopa labda hazikutolewa kwa usalama. Wewe umeiga kitu kimeingia na mtoto juu alafu unajiuliza mistake za nyuma alizofanya, wakati mwingine design ya mke wako wanakuwa wazuri kwa kuwa tayari wana ile hali kujuta na atakusaidia watoto waspitie katika ile hali aliyopitia yeye
 
With due respect,
Yani ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu ule usiri wa mambo ya ndani unaanikwa jukwaani, vitu vingine ni kujiaibisha,
Mimi nadhani kwa hili ni wee mwenyewe kukaa na kutafakari kama una amani moyoni ya kuendelea kuwa nae
Pili ndoa si lelemama unapoamua kuingia kwenye maisha ya ndoa means umejiona umekua na una busara za kutosha kusukuma hilo gurudumu sasa ukiacha maamuzi ya familia yako yatolewe na watu humu nina hofu kidogo kama unastahili kupewa sifa ya kuitwa kichwa cha familia.
 
kweli now days tuna wavulana .. yani wewe ufukunyuku wako unataka kutesa mtoto? wewe huna dhambi zaidi ya kutoa mimba.. acha ubinafsi
 
ametoa kwa makusudi au? ulimuuliza sbb ya kutoa mimba? ww mwambie tu kwnz kitendo icho ni kosa na dhambi mbele za mungu, anatakiwa atubu
 
Mbona mi sijaelewa???
Halafu mleta mada kuna maswali anayakwepa.
Sawa, ili kuepuka utoaji mimba kwenye ndoa, wote mke na mume mtumie njia za uzazi wa mpango.
 
hilooooo...janaume jimbeya...ahahahahahhaaa. polee,....it hurts enheeee?
 
mkuu taarifa nimeona mwenyewe kwenye taarifa zake ndani mwetu zna hadi tarehe za matukio. bahati mbaya bnti niliyempa mimba ni yeye na nikaamua kumuoa kwa kufuata misingi ya ndoa.

Misingi ya ndoa ndio inafuatwa hivyo? Ulimchunguza kabla ya kumuoa? Na umeshamuoa sasa bila kuuliza hilo suala kabla...zaidi ya kumsamehe na kufanya maisha utakuwa hujamtendea mema ktk maisha yake.
 
inauma sana, poa lakn ngoja nitulie. kama aliweza kutoa si anaweza chepuka akapata tena na akatoa? sasa ikitokea hvo tutakua na watoto wangap mkuu?

Ndio maana tunashauriwa tutulie na kufanya uchunguzi kabla ya kuamua kuoa huku tukisaidiwa na Mwenyezi Mungu,mwingi wa uaminifu.
 
Nahisi anasema baada ya kijifungua kutoa mimba mbili zake. Inamana kama vile kafuata uzazi wa mpango.
 
Mchunguze vizuri uenda hata mfereji wa mavi wenzio walisha uzibua na ameishakunywa mapipa ya sperms kwa kuwanyonya miboboo midume wenzio wakati akiwa nawe anajifanya mke mwenye heshima kama malaika vile!Hawa viumbe tunaowaita wake wameficha mambo mengi mazito kuhusu historia yao ya zinaaUzuri ni kwamba wengi hatujui

lakini wengi wetu tuliochukua open canals ukweli unabaki pale pale tunakula vibudu!Inauma sana pindi unapopata kujua hata sehemu tu ya historia ya maisha yao hasa ya zinaa!Japo inakatisha tamaa na kuumiza sana hasa kihisia lakini kumuhacha huyo haitakusaidia maana ukisema utafute mwingine unaweza ukaangukia pabaya zaidi na mwisho utaishia kuchanganyikiwa hata kufa kabla ya wakati wako.

Ila cha kufanya mwambie ili ajue kuwa unajua alivo kimeo na unaishi nae tu ili maisha yaende
Mimi uwa namwambia kila ninapokuwa na ushaidi wa uchafu wake uwe wa sasa au uliopita na ikibidi adhabu nampa vilevile hata kama ni vibao na makofi kiasi!Japo kubadili ya zamani siwezi ila ime

----- huu
 
Anashindwa kuelezea, huyu alimuoa mke wake akiwa bikra, lakini ajabu ni kwamba amepata habari kuwa mkewe kabla hajamuoa alishatoa mimba mbili, daktari aliemtoa ndie amemthibitishia hilo???
 
Kwani uke uluotoa mimba na amboa haujatoa unatofauti.? we mzalishe watoto unaotaka kwanza. Kumwacha ni hasara nyingine. Ukishamaliza kuzalisha watoto wanaokutosha. Anza kufuatilia. Hata ikitokea mmeachana hutapata hasara kwani ushakuwa na watoto wakutosha. Ukimwacha gafla garama yakuoa ni kubwa na unaweza kuta kiche2 zaidi ya huyo na mbaya zaidi akawa hawezi zaa. kwahiyo mzalishe haraka2 watoto unaotaka. Hapo lazima uwe jasiri na ndio uanaume huo.
 
wakati unamuoa hukujua kua alishatoa, watu wengine bana mnajiaibisha tu
 
Back
Top Bottom