atakuwa amekumbwa na pepo linalomshawishi ajibadilishe jinsia embu weka picha yake tumuonemiaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu,nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhsha.nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia
miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu,nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhsha.nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia
hii itanipa jibu kwanini anavaa boxer zangu?
Nunua nyingi tu mkuu akivaa hii unachukua ile. Hawezi kukuambukizia ugonjwa kwani mpo pamoja kila siku. Tena inapendeza saana tu mbona jema sana hilo?? Anakutamani sana kila akiivaa anatamani kuwa laiti ungekuwa umo ndani yake saa zote.
Hili nalo unaomba ushauri?? Ungeomba nini ka angelisema alipita uani kwa mtu akaona boxer akaitamani aivae, miye naona saa hii tungekuja kukusalimia segerea
Sasa na wewe vaa chupi na sidiria zake itakuqa ngoma droomiaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu,nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhsha.nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia
Jibu sahihi kabisa!