James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

Status
Not open for further replies.
we dont care

yeyote yule muhusika na mgao wa fedha za umma hizo ana case ya kujibu kuanzia kwa hao viongozi hadi maaskofu

kumbuka kwenye hiyo pesa kuna pesa ya umma remote

haijalishi iliyolipwa VIP HATA IPTL

KOTE HUKO KUNA PESA YA UMMA,

SO WANUFAIKA WANA CASE YA KUJIBU

WACHA MOVIE IENDELEE

Kisiasa uko sawa lkn kisheria wanafaika hawahusiki wala kuwajibika, ndio maana Rugemalila, pamoja Na kunufaika kwa malipo bado anaishitaki serikali. Sijui lini Serikali yetu itajifunza, inatia hasira sana.

Hapa Mahakama ikikubaliana na Ruge, kuna hatari Serikali ikaanguka kwa kukosa credibility ya kuongoza; likitokea hili itamgharimu Rais, Serikali yake Na Chama chake.

Vv
 
Wakuu lakini hyu ruge si alikubali kutransfer hski zake zote kwa singasinga,na maamuzi ale yalisajiliwa mahakamani?kma ilivyo kwenye hukumu ya judge utamwa.?sasa hii kudai hela inatoka wapi?au mimi ndo sielewi..!!
 
mmiliki wa vip enginering, aliyekuwa anamiliki hisa iptl ndugu rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya sh. 398 bilion zilizokuwemo/ zinazotakiwa kuwemo katika escrow account ya tegete na zilizolipwa kwa kampuni ya pap na kuleta mjafala mkubwa bungeni.

Katika madai yake, mwenye hisa hatambui malipo yote yaliyolipwa na serikali kwa kampuni ya pap kwani kampuni hiyo haikuwa na nyaraka halali kutoka kwa msajili wa makampuni brela, taxe clearance certificate kutoka tra, kuandikishwa tanzania investment center na wala mmliki wake kuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini kutoka idara ya uamiaji.

Katika hoja yake mdai anasema kuwa ni jukumu la serikali kuwahakiki wawekezaji wa nje ili kuwalinda wawekezaji wa ndani pindi tu wanapoingia ubia na wawekezaji wa nje. Ameendelea kudai kuwa, kwa uzembe huo wa serika kwa kutotimiza uhakiki wake wa kigeni ulisabibisha kampuni yake ya vip engineering kuingia ubia na kampuni feki na kumsababishia hasara ya sh. Bilion 56 kwani alizimika kuvunja ubia wao na kumfungulia mashitaka mbia mwenza pap baada ya kugundua ubabahishaji wa uhalali wa kampuni hiyo.

Hivyo ameitaka tena serikali kulipa gharama zote alizotumia kuendesha kesi sh.36.8 bilion.
Aidha amedai kuwa aliwafahamisha serikali kutolipa malipo yoyote yaliyokuwemo kwenye account ya escrow na endapo serikal ingeona kuna haja ya kufanya hivyo basi ilipe kwa vip au iptl account ambayo yeye alikuwa signatory.

Katika uwasilishaji wake mahakamani hapo anadai kutofahamu au kutambua kulipwa kwa pap. Hivyo serikali inatakiwa kulipa tena madai yote kwa vip au iptl. Amewapa serikali siku 14 tu toka 1 januari,2015 kuwa wamelipa malipo yote.

Katika madai hayo, ili kuyadhitisha ameambatinisha:
1. Report ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serika inayodhibitisha baadhi ya pesa kulipwa kwa pap
2. Mkaguzi mkuu kudhibitisha kuwa mlipwaji hajawahi kusajiliwa kama mlipa kodi wala kupewa taxe clearance certificate.
3. Report ya mdhibi mkuu wa rushwa kuthibitisha kuwa kampuni iliyolipwa haikusajiliwa brella na wala haikuwa na sifa au uhalali kufanya kazi yoyote ya ugavi dhidi ya shirika lolote la uma.
3. Report ya bunge kama muhimili mwingine wa nchi kupitia kamati yake ya hesabu za serikali na mashirika ya uma kutodhibitisha/kudhibitisha juu uhalali wa pap, mmiliki wa kampuni ya pap na utendaji wake wa kazi.
4. Mapendekezo ya kamati ya bunge kwa serikali dhid ya pap, mali zake na mmiliki wake.
5. Mapendekezo ya bunge kwa serikali yanayodhibitisha kuwa pap haikuwa halali.
6. Mapendezo ya bunge kwa serikali juu ya watendaji wote walioshilikiana kwa pamoja ya kuilipa kampuni isiyo halali.
7. Baadhi ya magazeti likiwemo gazeti la serikal kudhibitisha mkuu wa nchi kupokea na kuridhia mapendezo hayo.
8. Magazeti pamoja na la serikali kudhibitisha serikali kwa kuwaadhibu watendaji wote waluofanya udhembe wa kulipa kampuni isiyo halali.
9. Mkanda wa video ya rais wa nchi katika hotuba yake kukili watendaji wake kuilipa kampuni isiyo halali na kawasimamisha kazi kwa uzembe huo.
10. Barua ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa rais ya kuomba kujiuzuru kwa kufanya uzembe huo wa kulipa kampuni isiyo halali.
11. Barua ya rais kwa mwanasheria mkuu kukubali kujiuzuru kwake kwa kutoa ushahuri wa kulipa kampuni isiyo halali.

Kesi hiyo uenda ikaamsha tena hasia za wanachi juu ya malipo ya escrow account. Ni mtihani mwingine kwa serikali kwani bunge na wanachi hawako tiyari kuona pesa kama hiyo ikilipwa tena.

this is of the most complicated legal and corrupt matter in recent tanzania history.

Kwa mfano kwa nini jaji utamwa liamua "all affairs be handled to pat..." wakati pat ana 50% share na simba trust naye ana 50% share?
 
Waunhwana nimepata yaarifa amanazo sijaamini .zikidai aliyekiwa mmliki wa BIP Eng. Jamsi Rugemarila amefungua kesi higj xourt akidai fedha seeikali kuhusiana na scandle ua Tegeya Escrow Acc.5 taatiga za kweli tafadhali
 
At least from Zitto Kabwe, this is what we know!

To: Wanazuoni


Subject: [Wanazuoni] VIP v Serikali


VIP v Serikali

Mmiliki wa VIP Enginering, aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh. 398 bilion zilizokuwemo/zinazotakiwa kuwemo katika Escrow Account ya Tegete na zilizolipwa kwa kampuni ya PAP na kuleta mjafala mkubwa bungeni.
Katika madai yake, mwenye hisa hatambui malipo yote yaliyolipwa na serikali kwa kampuni ya PAP kwani kampuni hiyo haikuwa na nyaraka halali kutoka kwa msajili wa makampuni BRELA, Taxe Clearance Certificate kutoka TRA, kuandikishwa Tanzania Investment Center na wala mmliki wake kuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini kutoka idara ya Uamiaji.
Katika hoja yake mdai anasema kuwa ni jukumu la serikali kuwahakiki wawekezaji wa nje ili kuwalinda wawekezaji wa ndani pindi tu wanapoingia ubia na wawekezaji wa nje. Ameendelea kudai kuwa, kwa uzembe huo wa serika kwa kutotimiza uhakiki wake wa kigeni ulisabibisha kampuni yake ya VIP Engineering kuingia ubia na Kampuni Feki na kumsababishia hasara ya sh. Bilion 56 kwani alizimika kuvunja ubia wao na kumfungulia mashitaka mbia mwenza PAP baada ya kugundua ubabahishaji wa uhalali wa kampuni hiyo. Hivyo ameitaka tena serikali kulipa gharama zote alizotumia kuendesha kesi sh.36.8 bilion.
Aidha amedai kuwa aliwafahamisha serikali kutolipa malipo yoyote yaliyokuwemo kwenye account ya Escrow na endapo serikal ingeona kuna haja ya kufanya hivyo basi ilipe kwa VIP au IPTL account ambayo yeye alikuwa signatory.
Katika uwasilishaji wake mahakamani hapo anadai kutofahamu au kutambua kulipwa kwa PAP. Hivyo serikali inatakiwa kulipa tena madai yote kwa VIP au IPTL. Amewapa serikali siku 14 tu toka 1 Januari,2015 kuwa wamelipa malipo yote.
Katika madai hayo, ili kuyadhitisha ameambatinisha :
1. Report ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za serika inayodhibitisha baadhi ya pesa kulipwa kwa PAP
2. Mkaguzi mkuu kudhibitisha kuwa mlipwaji hajawahi kusajiliwa kama mlipa kodi wala kupewa Taxe clearance certificate.
3. Report ya mdhibi mkuu wa Rushwa kuthibitisha kuwa kampuni iliyolipwa haikusajiliwa BRELLA na wala haikuwa na sifa au uhalali kufanya kazi yoyote ya ugavi dhidi ya Shirika lolote la Uma.
3. Report ya Bunge kama muhimili mwingine wa nchi kupitia kamati yake ya hesabu za serikali na mashirika ya uma kutodhibitisha/kudhibitisha juu uhalali wa PAP, mmiliki wa kampuni ya PAP na utendaji wake wa kazi.
4. Mapendekezo ya kamati ya bunge kwa serikali dhid ya PAP, mali zake na mmiliki wake.
5. Mapendekezo ya bunge kwa serikali yanayodhibitisha kuwa PAP haikuwa halali.
6. Mapendezo ya bunge kwa serikali juu ya watendaji wote walioshilikiana kwa pamoja ya kuilipa kampuni isiyo halali.
7. Baadhi ya magazeti likiwemo gazeti la serikal kudhibitisha mkuu wa nchi kupokea na kuridhia mapendezo hayo.
8. Magazeti pamoja na la serikali kudhibitisha serikali kwa kuwaadhibu watendaji wote waluofanya udhembe wa kulipa kampuni isiyo halali.
9. Mkanda wa video ya Rais wa nchi katika hotuba yake kukili watendaji wake kuilipa kampuni isiyo halali na kawasimamisha kazi kwa uzembe huo.
10. Barua ya Mwanasheria mkuu wa serikali kwa Rais ya kuomba kujiuzuru kwa kufanya uzembe huo wa kulipa kampuni isiyo halali.
11. Barua ya Rais kwa Mwanasheria mkuu kukubali kujiuzuru kwake kwa kutoa ushahuri wa kulipa kampuni isiyo halali.

Kesi hiyo uenda ikaamsha tena hasia za wanachi juu ya malipo ya Escrow account. Ni mtihani mwingine kwa serikali kwani Bunge na wanachi hawako tiyari kuona pesa kama hiyo ikilipwa tena.

 
Safi sana Ruge. Umecheza kama Tottenham Hotspur
 
Chini ya CCM sitoshangaa haya kutokea kwani beneficiaries ni MAKADA wa CCM !!!

Mbona hii trela tu, serikali ikijitia kumfilisi kama PAC ilivyoshauri basi yeye ndio ataifilisi serikali.
 
Atatuua tu huyu. Na yeye tumpe hela tena ah bora mi niondoke ktk nchi hii ishakuwa ya Rwegamalila na singa tutashindwa fanya kazi nyingine sasa na huu si uzalendo. Wao wamkamate mwizi wetu tu huyo PAP
 
Wakuu lakini hyu ruge si alikubali kutransfer hski zake zote kwa singasinga,na maamuzi ale yalisajiliwa mahakamani?kma ilivyo kwenye hukumu ya judge utamwa.?sasa hii kudai hela inatoka wapi?au mimi ndo sielewi..!!

PMM ameeleza vizuri sana hili kwenye post yake hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Chini ya CCM sitoshangaa haya kutokea kwani beneficiaries ni MAKADA wa CCM !!!

Suala si ukada wa CCM, tatizo serikali na bunge imeendekeza sana siasa kuliko kufuata sheria na haki. Sasa inapokutana na watu wanaojua sheria kama kina Rugemalira ndipo inajikuta inalipa mapesa kibao kwa sababu ya uzembe na kuendekeza siasa katika vitu visivyohitaji siasa.
 
Huyu afanywe kama valambia kesi miaka mia kashinda lakini halipwi, au
 
Kwa ujumla wewe ndiye wa kijiweni tena kijiwe cha kahawa. Uwezo wako wa kusoma na kuelewa ni mdogo mno. Hivi umeyaelewa madai ya Ruge aliyoyafungulia shauri mahakama kuu?
 
Kama hizi habari ni za kweli basi Mzee Rugemalira hapa anamwaga ugali na kuzima moto kwa kumwagia maji ili mtu yeyote asiende jikoni kupika, hili sakata ndiyo liko saa 6:00
usiku, kurudi jioni ni mbali na mapambazuko yako mbali, nyie tifuaneni lakini HAKI itendeke, madai ya Ruge yanaweza kueleweka kwa watu wanaosoma VIZURI maandishi wala siyo kwa watu wenye 'homa ya siasa' someni vema maandishi(kwa wale ambao hamjaelewa maana naona 'wengine' wanabeza madai ya Ruge)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom