Recent content by Gesamore

  1. G

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Dar to Lagos
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Kwa upande wa miguu fanya mazoezi ya kukimbia na kuruka kamba hii itakisaidia sana pale utakaposikia maumivu ya miguu yaani misuli inauma ndio tiba yenye ikipoa hiyo misuli basi na maumivu ya miguu yatapoa . pole sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Mwanamke alimejifungua Mtoto japokuwa hajakutana kimwili na Mwanaume.

    Apimwe akili kwanza huyo dada
  4. G

    JamiiForums Tanzania Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

    Mr Sinaga Swaga ajaielewa. Yupo Smart Kuanzia Kichwani Mpaka Kwa Mambo Mengine Yeye Hapendi Kiki Kama Hawa wenzake. Mashairi yake ni murua ana ajiiga mwenyewe style yake. So Killer ni Killer Tu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Nyimbo za darasa sio za kukurupuka na kusema et kabahatisha. Hii ngoma ni kali na ww ipe muda uta realise kuwa ulikosea ku judge hii ngoma mapema. Ngoma kali ww hiii acha chuki #Hasara Roho Pesa Makaratasi [emoji16][emoji16][emoji16]
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hostel za udsm vs Ghorofa za Magomeni

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Sawa sawa mkuu nashukuru kunijuza hilo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Shukran sana wakuu kwa somo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Nilimaanisha Ekari hapo
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Asante sana mkuu ubarikiwe
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Naomba kujuzwa kuhusu suala hili. chukulia mkulima kafuata taratibu zote za kilimo cha kisasa yaan kanuni zote za kilimo kafuata. mkulima anaweza kupata gunia ngapi kwa heka? Nawasilisha kwenu wana Jamii
  12. G

    JamiiForums Tanzania Fursa Onecoin Pesa Digitally

    Tofauti ipo one coin inawatumiaji wengi sana mpaka sasa wanafika takriban 2.9 milion wakat bitcoin wapo kama laki tatu. Kingine onecoin ni gharama nafuu kwa sasa ukilinganisha na bitcoin ipo juu sana. Bitcoin walimilik matajir sana ila onecoin ni kwa ajir ya watu wote haibagui. Onecoin...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Fursa Onecoin Pesa Digitally

    Lazima iende public ila kwa sasa asia wao wameenda public hii inatokana na wao usability ipo juu sana kwa wengne twa subir mpaka huo mwaka wa 2018 Sent from my GT-S7392 using JamiiForums mobile app
  14. G

    JamiiForums Tanzania Fursa Onecoin Pesa Digitally

    Faida unaichukuwa hyo ni baada ya kampuni kwenda public 2018 . Na utaichukua kawaida kama pesa nyingne unavyotoa benk. Njoo whatsapp kwa maelezo zaid 0652601864
Back
Top Bottom