Fursa Onecoin Pesa Digitally

Gesamore

Member
Sep 25, 2015
27
15
#OneCoin*

OneCoin ni Cryptocurrency au Digital Currency. Ni fedha ambayo ipo kwenye mfumo wa digitali na si wa sarafu au noti inayoshikika. Ni fedha ambayo itatumika dunia nzima muda mfupi ujao. Kwa sasa OneCoin ipo katika mchakato wa kutengeneza mfumo imara na thabiti ambao utawezesha kila mtu duniani kuitumia fedha hii kwa matumizi ya kawaida kabisa ya kila siku.
Ili kuielewa vizuri OneCoin au Digital Currency tupitie kidogo historia ya manunuzi na mauzo ya vitu.

1. Butter Trade
Wengi tunajua mfumo huu wa manunuzi na mauzo ya vitu uliojulikana kama Butter Trade. Butter trade ni mfumo ambao watu walibadilishana bidhaa kwa bidhaa, hapakuwa na fedha kama sasa. Kwa hiyo ukihitaji nguo inabidi umpe anayeuza nguo kile ulichonacho mfano mnabadilshana nguo kwa kuku, mahindi kwa mbuzi na kadhalika.

2. Vito vya Thamani kama Dhahabu
Ulimwengu ulihama kutoka kwenye kubadilisha vitu kwa vitu ukahamia kwenye kubadilisha vitu kwa KITO cha thamani kama dhahabu. Thamani ya vipande vya dhahabu ilipimwa kwa wingi au ubora wa bidhaa husika inayobadishana na kipande hicho cha dhahabu.

3. Coin and Paper Token
Matumizi ya dhahabu bado yalikuwa magumu sana. Wizi na ugumu wa kusafiri na vipande vya dhahabu viliifanya dunia kuja na mfumo wa sarafu na fedha za makaratasi. Mfumo huu ndo ambao tunautumia kwa kiasi kikubwa mpaka sasa.

4. Mobile Money.
Huu ni mfumo ulioletwa na Internet na Mobile phones. Mobile Money ni kama Western Union, MPESA, Tigo Pesa, Airtel Money, Simbanking, Pesa Fasta, na mifumo mingine mingi ya kutuma, kupokea, na kutumia pesa kwa kutumia mitandao ya simu na internet. Mobile Money imeleta mageuzi makubwa sana kwenye mfumo wa fedha duniani. Fedha inahamishika kirahisi. Biashara nyingi zimekuwa rahisi kwa sababu ya matumizi ya Mobile Money.

5. CryptoCurrency.
Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao kama CryptoCurrency.
Kama ilivyo kwa mobile money, Cryptocurrency ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku.
Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika kama digital money. Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani kama una hela kwenye Tigopesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti ( actual coins or paper note)? Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni? Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi.

Swali, kama Mobile Money ipo, Cryptocurreny ya nini tena?
Jibu ni kwamba, Cryptocurrency ina faida zifuatazo.
1. Kutuma na kupokea fedha ni bure
2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka kama unavyotuma na kupokea email kwenye internet.
3. Cryptocurrency itatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu mfano MPESA.
4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kuibiwa (money laundering).
5. Akaunti yako ipo mikononi mwako, huna haja ya kwenda bank.

Zipo kampuni nyingi sana za Cryptocurrency duniani kama zilivyo kampuni nyingi za mobile money. Kampuni ya kwanza kuanzisha Cryptocurrency inajulikana kama Bitcoin. Baada ya Bitcoin zimeibuka kampuni nyingi sana. Bitcoin na hizo kampuni nyingine nyingi zina mapungufu mengi sana ambayo yamezifanya kushindwa kuifanya Cryptocurrency iweze kutumika dunia nzima na kwa watu wote. OneCoin ambayo imeanzishwa mwaka 2014 imeweza kuondoa mapungufu yote ya hizo kampuni nyingine na hivyo kuweza kukubalika kuwa kampuni namba moja inayoweza kuipeleka Cryptocurrency kwa watu wote.

OneCoin inakuwaje Fursa?
Makampuni mengi makubwa yanapoanzishwa huwa yanauza hisa, na wananunuzi wa hisa huwa wanapata faida pale kampuni inapotengeneza faida. Makampuni kama Microsoft, Google, Yahoo, Linkedin, Facebook, Whatsapp, yanaingiza faida kubwa sana kwa sekunde.
Waliowekeza kwenye haya makampuni ni matajiri wakubwa ambao wanapata fedha nyingi kila sekunde. Hata Bitcoin ilipoanza wawekezaji wake wengi walikuwa ni matajiri wakubwa ambao wanataka kupata faida. Jaribu kufikiria, badala ya kuwa mtumiaji tu wa Facebook, Whatsapp, Yahoo, au Google ungekuwa umewekeza kwenye haya makampuni makubwa na kila mara unapewa fedha kutokana na faida kubwa zinaoingizwa na haya makampuni ukiwa umepumzika tu nyumbani kwako. Mwanzilishi wa OneCoin anataka wawekezaji wake wawe watu wote watakaokuwa wa kwanza kuwekeza kwenye kampuni yake bila kujali utajiri au utaifa wa mwekezaji. Hii ni kwa sababu OneCoin ni kwa ajili ya watu wote kwa mataifa yote.

Kuna aina mbili za uwekezaji kwenye OneCoin.
1. Investing Only (Uwekezaji Pekee)
2. Investing and Networking (Uwekezaji na Kueneza kwa Mtandao)
Njia zote mbili zina faida kubwa sana. Ya kwanza inawafaa watu ambao hawana muda wa kuisambaza kwa njia ya mtandao. Ya pili inawafaa watu ambao wanaweza pia kuisambaza kwa njia ya mtandao.
Kuna vifurushi (packages) vya viwango tofauti ambavyo mtu wa kawaida kabisa anaweza kuwekeza na kupata faida kubwa sana.

Vifuatavyo ni vifurushi ambavyo unaweza kununua na faida kubwa. Faida utaipata baada ya OneCoin kupanda thamani. Thamani ya OneCoin mwezi wa sita ilikuwa Euro 5 kwa Coin 1, lakini leo thamani ni Euro 6.3 kwa Coin 1. Makadirio yetu ni kwamba mpaka mwezi wa Tatu mwakani (March 2017) thamani ya OneCoin itakuwa zaidi ya Euro 10 kwa Coin 1. Kwa sababu thamani ya hivi vifurushi inakuwa kwa kasi kubwa ni vizuri zaidi kununua vifurushi hivi mapema kuliko kuchelewa halafu ukaja kununua kwa bei ghali.

Packages
1. Starter (euro 140) Tshs 350,000/= utapata Tsh 792,500/=
2. Trader (euro 580) Tsh 1,450,000/= utapata Tsh 3,967,500
3. Protrader (euro 1130) Tsh 2,825,000/= utapata Tsh 7,936,250/=
4. Executive Trader (euro 3330) Tsh 8,325,000/= utapata Tsh 23,809,500/=
5. Tycoon Trader (euro 5530) Tsh 13,825,000/= utapata 75,000,000/=
6. Premium (euro 13780) Tsh 34,450,000/= utapata Tsh 187,500,000/=
7. Infinity (euro 27530) Tsh 68,825,000/= utapata Tsh 750,000,000/=
8. Infinity Plus (euro 27530) Tsh 68,825,000/= utapata Tsh 1B

Karibu sana kwenye ulimwengu mpya wa Fedha.

Kwa mawasiliano: 0652601864 /0754540397
 
Hiyo faida unaichukuaje? Baada ya muda gani?
 
Faida unaichukuwa hyo ni baada ya kampuni kwenda public 2018 . Na utaichukua kawaida kama pesa nyingne unavyotoa benk. Njoo whatsapp kwa maelezo zaid 0652601864
 
Hapo ndo utapeli unaanzia,isipoenda public hiyo kampuni,pesa utapataje
 
Onecoin na bitcoin kuna tofauti ipi
Tofauti ipo one coin inawatumiaji wengi sana mpaka sasa wanafika takriban 2.9 milion wakat bitcoin wapo kama laki tatu.
Kingine onecoin ni gharama nafuu kwa sasa ukilinganisha na bitcoin ipo juu sana.
Bitcoin walimilik matajir sana ila onecoin ni kwa ajir ya watu wote haibagui.
Onecoin ilianzishwa 2014 bitcoin yenyewe 2009.
Zpo nying sana jaman
 
Faida unaichukuwa hyo ni baada ya kampuni kwenda public 2018 . Na utaichukua kawaida kama pesa nyingne unavyotoa benk. Njoo whatsapp kwa maelezo zaid 0652601864
haya ni majizi makubwa, yaani hawa pamoja na wenzao bitcoins wamelaaniwa ndio maana wizi upo damuni mwao... ona tuu unavyojichanganya eti mwakani mwezi wa tatu onecoin itakuwa euro 10! tena ukivyo popoma unasema kabisa "mwakani mwaka 2017" hii ni kuonesha kuwa hii thread umecopy somewhere... acheni wizi mtaja umbuka siku moja.
NB: NINA EXPERIENCE NA HAWA WATU SITUKANJ MTU BURE!
 
Tofauti ipo one coin inawatumiaji wengi sana mpaka sasa wanafika takriban 2.9 milion wakat bitcoin wapo kama laki tatu.
Kingine onecoin ni gharama nafuu kwa sasa ukilinganisha na bitcoin ipo juu sana.
Bitcoin walimilik matajir sana ila onecoin ni kwa ajir ya watu wote haibagui.
Onecoin ilianzishwa 2014 bitcoin yenyewe 2009.
Zpo nying sana jaman
acha uongo! unasemaje onecoin ni gharama nafuu huku starter bundle ni zaidi ya laki tatu!!!? sawa bitcoin ni gharama ila unaweza kununua bitcoin hata kwa elfu ishirini ni mfuko wako tuu.
 
Back
Top Bottom