Recent content by Gers

  1. Gers

    Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Ukifanya hiyo kaz uctegemee maendeleo wewe tambua kwamba unatafuta hela ya kula. Habar za nauli achana nazo miguu ni usafiri tosha.
  2. Gers

    Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

    Ndio maana wanamsifia na kumwimbia mapambio na kusema mitano tena kama hushtuki utaungana nao kusema mam anaupiga mwingi. Huyu mama hafai kabisa katika taifa hili.
  3. Gers

    Fanya hivi usiku wa manane

    Huu ni mojawapo ya umaskini ulioletwa na CCM.
  4. Gers

    PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

    Mimi najiuliza ccm hawana vijana wasomi mpaka wampendekeze mzee wasira na makala? Hao niwachumia tumbo tu, watanzania tuamke wakati wa Mungu ndio sasa. Kwa pamoja tuiunge mkono chadema.
  5. Gers

    Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Kwa hiyo bila Mufti hakuna Idd siyo?
  6. Gers

    Tetemeko Thailand/Myanmar lingetokea Tanganyika sijui Hali ingekuaje

    Janga tulilopewa sisi watanzania ni CCM, hilo ni janga tosha tukipewa lingine hatutahimili.
  7. Gers

    KERO Morogoro mjini, umeme unakatika kila siku

    Endeleeni kuimba CCM mbele kwa mbele na Mama anaupiga mwingi. Ipo siku akili zitawakaa sawa.
  8. Gers

    Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kama unakula ugali unashiba Mshukuru Mungu hayo mambo mengine tuwaachie wanazengo. Maana siku ya kulia utalia peke yako ukiwa chumbani.
  9. Gers

    Mwonekano wa Counter yangu

    Kwa hiyo mkalewa mkaamua mchonge nyama iwe na sura ya Trump?
  10. Gers

    Kwanini maonyesho mazingaombwe yaliacha kuonyeshwa shuleni na nchini?

    Wafanya mazingaumbwe walishatajirika hivyo hawawezi kuhangaika tena mashuleni.
  11. Gers

    Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

    Kama msukuma alitunukiwa udaktari inashindika vp asipewe na samia tena rais wa jamhuri na yamuungano tena ya kitanzania.
  12. Gers

    Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Kwa hiyo ndugu nikimtafuta Yesu ndo nitapona hiyo vita?
Back
Top Bottom