Wewe ni ndugu yake Lipumba? Yaani wewe kwako unauona huu mtafaruku ni wa kufanyia majaribio kwa kiongozi kama maalim Seiff?Ushauri wako peleka Lumumba ulipwe buku zako tano.
Makonda kama mkuu wa mkoa anao wa uwezo wake kuwakamata katika mkoa wake.Watakuwepo watakaoshughulikiwa na waziri mambo ya ndani kitaifa.Mwisho wapo mapapa ambao mkuu wa nchi kupitia mambo ya ndani ataamuru kukamatwa kwao.Angalau mwanzo umeonyeshwa na mkuu wa mkoa na leo ameongeza watuhumiwa...
Niliposoma muundo wa ndege nilielewa ni muundo kwa nje na nikawa najihoji itakuweje kupishana barabarani.Kumbe kwa nje wala haina shape utadhani leyland za zamani.Huo ni mpangilio wa viti tu tena kwa kuminya nafasi maana upana wa body ni ule ule na body builder yeyote hata Manji...
Ni ununda na ujinga tu wa baadhi ya wanaume.Sasa kama kweli huyu bwana ni muoaji tabia za mchumba wake zimeshaonyesha ni malaya na hafai.Je akimweka ndani itakuwaje?Huyu dada kwa maelezo yake tu amedhihirisha sio mwaminifu.Tena ukimweka ndani huyu na kuzidi kumfuatilia kila afanyalo hana simile...
Ndugu yangu kumbe nayo majina hutia upofu.Sihitaji kujua kama wewe ni mkristo au vinginevyo ila itoshe tu kukuambia siku ya ufufuo kitakachofufuliwa ni roho na sio mwili.Mwili utarudia mavumbi ila pumzi ya Mungu aliyokupulizia na ndio roho ataihitaji kwa ajili ya hukumu.
Kazi ya kuwekeza miundo mbinu ni ya serikali. Yeye kama mwekezaji ni kuzalisha,kuajiri raia wenu na kulipa kodi stahiki.Hizo tambo anazotambiwa kuwa ni mpiga dili,mkwepa kodi na mharibu mazingira ni laana zetu zinawazunguka.Dangote ni billionea anae mwacha Trump kwa umbali wa kurusha jiwe na sio...
Yaani toka nasoma michango ya wachangiaji wote wa huu uzi wa mzee wa upako wiseboy umepasua ukweli wa picha hii.Hongera sana.Kwa kweli mimi jana niliusoma uzi huu mrefu kwenye makundi ya whatsup nami nikawa na mashaka hayo hayo.Huyu tena alikaa nae kwa zaidi ya siku moja kwani watoto walidai...
Hapana ndugu yangu huko unajichumia dhambi bure.Tumefundishwa mwenyezi Mungu ni mkamilifu na mwenye rehema.Ikiwa anaweza kusamehe dhambi nyekundu kama damu na zikawa nyeupe kama theluji hakika kwa neema anaweza kutusamehe hata na hukumu ya ya milele ukiamini hivyo.
Ingawa ni wazo zuri la mleta uzi maana sote tunataka aone tena kama mwanzo.Nashauri ipigwe simu huko na kusomewa vipimo vya Muhimbili wanaweza kurudisha majibu kama uwezekano huo upo apelekwe haraka kabla mishipa haijaziba.
Lazaro alifufuliwa na Yesu kwa kuwa alikufa katika imani.Pia ndugu zake akiwemo na dada yake walikuwa ni watu wa imani kubwa katika Kristo na mafundisho yake na waliamini uwezo huo alikuwa nao.Kumbuka alikwenda kuombwa na dada yake Lazaro akiwa kwenye mkutano kuwa kaka yake yu hoi akamwekee...
Hana lolote la msaada atakalomalizia zaidi ya kebehi tu.Kwa kawaida taifa letu wananchi wengi ni wenye urefu wa wastani na ni wachache mno wenye urefu wa Thabit.Ikitokea kwa abiria mmoja mrefu na mara chache sana akawa abiria wa ndege hizo na kuinama mlangoni na hata ikibidi hadi kwenye kiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.