JUVICUF kuhusu safari ya kwenda Buguruni Jumapili

Ha ha ha haaaaaa


Shame on you

Endelea kuisoma namba na kusaga meno, mvivu mkubwa unatia na kinyaa na kwa kuandika hayo unajieleza wewe ni unanukia uchafu 24/7
5765d6b2e232dabf1334a268bd695888.jpg
 
Watu watano walijitoa sadaka Mabibo walienda katika kambi ya Maalim seif kimya kimya awakuwaita waandishi wa habari wao walitenda kazi ya kuwachapa wafuhasi wa seif kimya kimya
Ukiona mtu anatangaza operesheni maalum kwa mbwembwe ujue huyo ni muoga tu
Kinacho fanyika mkulanga mbaka Ikwiriri ndio operesheni kimya kimya
Haya mabwabwa ya seif yanatafuta huruma ya serikali yanatangaza vita kwenye media
Njooni Buguruni!I kwa Shari alafu mkalazwe muhimbili vitanda viko vingi awamu hii ya tano..
Ulizia kati ya wafuasi wa Seif na walioenda mabibo kufanya vurugu nani yuko muhimbili.
 
Ha ha ha haaaaaa


Shame on you

Endelea kuisoma namba na kusaga meno, mvivu mkubwa unatia na kinyaa na kwa kuandika hayo unajieleza wewe ni unanukia uchafu 24/7
Nimekufanisha na roboti la Matope ukimwagiwa tu Unaloa Sehemu zako zote
 
Bora mkatoe kinyesi cha Lipumba,kambaya na vibaraka wenzie sababu wamechora hata kuta kwa kinyesi..
 
Kama huyu kaduguda aliitwa mwizi kule Mabibo na akapigwa panga la kisigino,kabla hata machungu ayajaisha vizuri mnajileta wenyewe kambi ya wateleban wazee wa kujitoa muhanga ama hakika neema imekuja Buguruni hapa ndio pa kuonyesha uwezo wa Judo,karate,kum fuu ,mawesh yokho zuu uzuri wa blue guard hakuna bondia wala baunsa ni 'areti tupu na ukumbi wa mazoezi upo pale pale ofisi kuu Buguruni karibuni sana na hayo mafagio yenu ndio yatageuka fimbo za kuwachapia.
 
Watu wanasema eti mimi ni muoga, siyo hivyo, unaangalia consequences za hicho unachotaka kukifanya na attainment of your objectives! Mtauawa and that is the end of the story! Walipouawa watoto South Africa, it ignited the catastrophic condemnation around the world and the objective were realized! Will this move ignite the same?

Mkuu huoni kwamba maafa na majanga ndio watawala walikuwa wanayasubiri pale walipoamua kumuunga mkono Lipumba..,acha CUF wakasafishe makao makuu yao halafu tuone hao wanae muunga mkono Lipumba watafanya nini..

Mataifa yenye matatizo yalianza hivi hivi
 
Ni vema Maalim Seif akaenda Buguruni na kuingia ofisini kwake bila kushirikiana na Lipumbavu. Aende tu tuone polisi watafanya nini.
Wewe ni ndugu yake Lipumba? Yaani wewe kwako unauona huu mtafaruku ni wa kufanyia majaribio kwa kiongozi kama maalim Seiff?Ushauri wako peleka Lumumba ulipwe buku zako tano.
 
Back
Top Bottom