sikujua kama wewe ni kichwa maji kiasi hiki. hivi urefu wa ndege kumbe unapimwa na picha/? hivi huyo Hashimu huwa apandi gari.... taka taka kama nyie ni waku puuza...View attachment 410545 View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!
Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.
Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.
Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba
Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
Nunua ya kwako tuone itafananaje je wewe umewahi kupanda hizo ndegeNdege vimebinuka nyuma utazani zimeveshwa high hills
jibu hoja acha jazba. Bora tungenunua Airbus A380sikujua kama wewe ni kichwa maji kiasi hiki. hivi urefu wa ndege kumbe unapimwa na picha/? hivi huyo Hashimu huwa apandi gari.... taka taka kama nyie ni waku puuza...
Binafsi sikuelewi kabisa lengo lako ni nini? Kama hizo ndege mtu mrefu uliemutolea mfano hapo juu Hawezi kupanda hizo ndege je yeye kila siku huwa anatembea kwa miguu? Naomba utueleze Gari ndogo huwa hapandi? Kwa kifupi inabidi aende kiwandani kutengenezesha inayomfaa.View attachment 410545 View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!
Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.
Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.
Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba
Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
Ubarikiwe mkuuUrefu hakuna shida,ila unene ndiyo tatizo..,Kama yule marehemu aliyeshindwa kusafirishwa kwenda India kwa matibabu na kufariki...
malizia tuu unachotaka kusema mkuu
Kwani hiyo ya baba yako shwa.ini weeeNunua ya kwako tuone itafananaje je wewe umewahi kupanda hizo ndege