MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini (based katika matumizi binafsi)
Tuko na boxer ,SANLG , feckon ,TVs king , Hero , na king Lion ....?
Ngoja nipite kimyakimya maana watakaochangia ubora wa vyombo tajwa ni madereva bodaboda,angalizo tu pikipiki zote hizo mchina na zinaingiliana spare parts kwa asilimia kubwa hayo majina ni mbwembwe tu
 
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini (based katika matumizi binafsi)
Tuko na boxer ,SANLG , feckon ,TVs king , Hero , na king Lion ....?
Mkuu Umetaja Piki piki Nyingi tuu kama Boxer,Fekon,Sanlg,TVS,nk

Ila Mwisho wa yote Kuna Pikipiki moja inaitwa HOAUJUE...au Kiswahili wanasena "Haujue" Hii Pikipiki ni noma Asikwambie Mtuu,Uliza waendesha Pikipiki watakuambia.

Ni Imara,inapiga Mzigo na Nzito. Ikitulia Barabarani Hakuna na Boxer, TVS,au wala sijui nini atafuata hii. Niliwahi Siku moja Kupakia Mzigo wangu,gunia 2 za Nazi kwenye "Hoaujue" nami nikapanda Boxer, Tumeanza tuu Boxer akatupita akaenda mbali.

Baada ya kama Dk 7 hivi,lilitupita kama tunesimama, nikamwambia Dereva wa Boxer Aisee vipi ongeza mwendo Mkuu,akaniambia hiyo ni "Hoaujoue" taamka "Haujue" ni balaa siwezi fuata pale linapokuwa limechanganya!

Na ni BORA usipime! Yaani Imara!

Inavumilia kila hali!
 
Co Tangazo la biashara hili brow
Hapana Mkuu,Sio kabisa,Labda Niseme hivi,Tunqpenda Kusifia na Kusema Ukweli,mfano Pia Mimi ni Mshabiki wa Scania,sipendi ma you tong!
Sasa hapa nafanya tena Biashara?

Biashara huwa na Bei,Venue inakopatikana Bidhaa,Specification,sasa Mimi hata CC sijui,ina uwezo gani sijui/sijaweka,Labda ningekuwa Dealer Tanzania Nzima na Hakuna Mwingine,lakini Mapikipiki yako Meeeengi sana Mkuu,Ndo Maana unaona hata Picha sijaweka,hata Jina Sijui kama nimelipatia!
 
Kwahyo kama. Wew uko naratba ya kununua pikpk ungenunua hiyo Houjo ?
(Na unanishauri ipi?)
 
Kwahyo kama.wew uko naratba ya kununua pikpk ungenunua hiyo Houjo ?
(Na unanishauri ipi?)
Mkuu inategemea na Kazi unayotaka kufanya na Eneo ulipo, Kama upo Dar,na Unataka kwa ajili ya Biashara nunua Boxer,ila Kama upo Mikoani na Unataka Pikipiki "multipurpose"

Yaani inayoweza kufanya Kazi Zaidi ya moja,yaani Abiria,mizigo,route za mbali Nunue Hoaujue yaani Haujue...utadumu nayo Muda Mrefu,itapiga Kazi sana, na Ni Imara na Bei yake iko juu kidogo nasikia,sina uhakika,ILA kama ni Dar,sababu watu/abiria wengi wa Dar wanapenda Boxer.

Chaguo ni lako! Waendesha Pikipiki wanaijua we we waulize tuu mtaani au kwenye Vijiwe watakuambia!
Hapa Tumekupa Mwanga tuu,mengine utamaliza Mwenyewe!
 
Mkuu inategemea na Kazi unayotaka kufanya na Eneo ulipo,
Kama upo Dar,na Unataka kwa ajili ya Biashara nunua Boxer,ila Kama upo Mikoani na Unataka Pikipiki "multipurpose"
Yaani inayoweza kufanya Kazi Zaidi ya moja,yaani Abiria,mizigo,route za mbali Nunue Hoaujue yaani Haujue...utadumu nayo Muda Mrefu,itapiga Kazi sana, na Ni Imara na Bei yake iko juu kidogo nasikia,sina uhakika,ILA kama ni Dar,sababu watu/abiria wengi wa Dar wanapenda Boxer,
Chaguo ni lako!
Waendesha Pikipiki wanaijua we we waulize tuu mtaani au kwenye Vijiwe watakuambia!
Hapa Tumekupa Mwanga tuu,mengine utamaliza Mwenyewe!
Sawa na asnt kwa mimi niko MTWARA na matumizi yangu ni binafsi kwa kiac kikubwa kwakuwa nahtaji ya kwaajili yakuendea kazi tuu na mizunguko isiyo zid km30 kwa siku
Mizgo kwangu ni nadra sana
Na kama abilia kubeba pia ni mara chache sana hivyoo yaan

Naona kama Boxer inanishawishi kutokana na hazi yake ata mbele ya watu na kiofisi ata kuwabebea mashejio....
 
Back
Top Bottom