Recent content by geoscientist

  1. G

    Prof Muhongo ni MUONGO au ANATANIA!!

    Kumuua mkewe...vipi hiyo sijawahi kuiskia..more details plz
  2. G

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    HUYU MWIGULU KAMA KWELI KAONGEA HAYO MANENO, namwomba akaitishe mikutano ya hadhara Mbeya, Iringa, Kilimanjaro na Arusha alaf ayarudie hivyo hivyo!
  3. G

    Dr. Slaa: Mafisadi hawana nafasi CHADEMA

    we unaona mafisadi ni jambo dogo la kuongelewa mara chache tu?
  4. G

    Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu (THBUB): Mauaji ya Mwangosi

    Ni bahati tu hapa haturuhusiwi kutumia matusi ya nguoni...ndo ambayo hawa tbc wanayastahili........@@@@@@###########
  5. G

    Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

    kama ni kweli I LIKED IT! TATU BILA! NAYEYE APATE UCHUNGU WA KUIBIWA, WANAOPATA WANANCHI KILA SIKU KWA KUKOSA HUDUMA ZA KIJAMII
  6. G

    Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa!

    lema nashindwa kusema..neno gani kukusifia..but keep it up..ipo siku wataelewa tu...waziba haki..pamoja na wanaoshabikia
  7. G

    CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

    Cjaingalia miez kadhaa sasa na naona furaha kwenye life yangu imeongezeka,..tbc doesn't need to exist..
  8. G

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    I agree completely correct..kwa sababu huyo ndo walimwona anafaa ccm in 2005...better upinzani wachukue nchi..tuone na yao
  9. G

    TBC ovyoo!

    Kichaa
  10. G

    TBC ovyoo!

    kuna wakati nilikuwa nalazimika kuitizama kwa kuwa king'amuzi uchwara hakidaki local chanels kama STAR TIMES na ITV, lakin bora kusimuliwa habari kesho yake na waliongalia channel nyngn...TBC uozo tu
  11. G

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    great work..mawaziri wachache sana Tanzania, wanao uwezo wa kufanya uchambuzi wa kueleweka kama huu..hawazidi 3..
  12. G

    Ripoti ya Sumu North Mara: Waziri wa Nishati Prof. Muhongo Ajifunua Rangi yake Halisi

    watu wajasiri ni wachache sana..hata angekuwa na CV ya namna gani cha muhimu zaidi ni kuwa jasiri kutetea ukweli, huyu waziri wetu naona ana ujasiri wa kukabiliana na kamati za bunge tu nje, anakwepa! Huwezi kuzungumzia mambo mengine wakati watu wanateseka..WASOMI WENGI TANZANIA NI WATUMWA KWA...
  13. G

    Nape: Vipi kuhusu kauli za Mukama huko Igunga?

    Hivi kijana anayeipenda ccm kwa wakati huu anazo sababu zipi? tofauti na hawa walioajiriwa na chama, au wenye kutaka kutumia njia ya chama kupata madaraka? naombeni sababu nyinginezi za kuipenda ccm
  14. G

    Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

    ndo shida ya watu waliopita shule na kakariri vitabu alaf wanadhani wameelimika..kazi yao kubwa inakuwa kuj-criticize kila kitu sabau hawaelewi..maandamano muhimu sana kwa wasomi
Back
Top Bottom