Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
namshangaa anapataje nguvu ya kuongelea ufisadi wakati yeye ana tuhuma kibao zinamkabili ndani na nje ya chama chake. Angetumia muda wake mwingi kudeal na hizo tuhuma badala ya kuanza kuwanyooshea wengine vidole. Btw, yeye ana pakukimbilia cdm ikifa, je nyie maficha nyuso zenu wapi?? Soon we will be singing the same song, kidumu chama cha mapinduzi!!!
kigumuuu.