Recent content by George Barran

  1. George Barran

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Kama miezi miwili iliyopita nilikutana na binti wa kichaga hapa mtaani ninapoishi, tulifanikiwa kuanzisha mahusiano baada kama ya wiki kama tatu hv akaniambia niende kwao kujitambulisha na nianze taratibu za kumuoa tena alitilia sana msisitizo akisema nikiwa tayali basi naweza kumtafuta ili...
  2. George Barran

    JamiiForums Tanzania Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Zingatia huu ushauri
  3. George Barran

    JamiiForums Tanzania Kitu ninachokijutia sana nilipokuwa kijana ni kupuuza kuvaa vizuri na utanashati. Nilidhani tatizo ni nyota kumbe mchawi mimi mwenyewe

    Ukipanda kiuchumi vitu vingi hubadilika kwenye maisha, nafikili mtoa mada amepanda kiuchumi ndio maana amepata na wazo la kupendeza
  4. George Barran

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu Hupata Kile Anachoweza Kukitumia Kwa Busara

    Unapewa unachostaili
  5. George Barran

    JamiiForums Tanzania Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

    Watakutafuna wewe mkuu hakika nakwambia kuwa makini sana
  6. George Barran

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ibraah na Harmo: Tuhuma mpya za kutisha

    Labda aliitwa chumbani akaangalie movie ya mazombie tusimfklie vbaya konde
  7. George Barran

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

    Kuna hatua lazima uelekezwe kama jinsi ya kushika machine, ku adjust wembe ili kupata size tofauti na kujua nywele zimelalia pande ipi ili kuepuka kutoa upala
  8. George Barran

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Hii ni elimu ya saikolojia mkuu, wengi hatuna huu ufahamu
  9. George Barran

    JamiiForums Tanzania Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

    Ata kutafakali vitu Vingi kwa wakati mmoja
  10. George Barran

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Sipendi kigimbi, ila nafanya mazoezi ya paja
  11. George Barran

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Wanyanyua vitu vizito tujuane hap
  12. George Barran

    JamiiForums Tanzania Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

    iyo namb mbili unatuongopea
  13. George Barran

    JamiiForums Tanzania Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Mwanaume hatumii manukato makali kupitiliza
Back
Top Bottom