Recent content by Geniustin

  1. Geniustin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana, ila kila nikigusia ndoa, ananijibu kwa upole, 'Subiri kidogo'. Sasa nataka kuoa aliye tayari wakati huu!

    Nzuri, lakini sio lazima wafike watano…Hata wawili watatu
  2. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Pamoja mkuu
  3. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendelee
  4. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Mkuu, unataka kusema hata miti ya matunda itakuwa inafatwa na hao viumbe kwa sababu ya sukari?
  5. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Hivi mkanda unaweza kupita pia pale madirisha yanapoanzia? Ile kozi ya kwanza ya Dirisha?
  6. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh! Pole sana mzee…Duh!
  7. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umetisha sana mzee
  8. Geniustin

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Hallow
  9. Geniustin

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Mimi nimewaomba siku ya pili leo, hawajahangaika hata ku”Accept”😆😆😆. Noma sana. NMB safi, ukigusa tu chaap
  10. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

    Mkuu Sound bar Vs Home theatre ipi kali???
  11. Geniustin

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Safi sana Mkuu...Bei za Samsung Tv Zinaendaje?
  12. Geniustin

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Jeshini

    Story nzuri...Mleta mada unajua kuhadithia...Interesting.
  13. Geniustin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Impossible mkuu[emoji23] Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom