Recent content by Geniuss

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tunamuonea sana rais Magufuli

    Wana jamvi, Kuna baadhi ya mambo baadhi ya watu wamekuwa kama programmed kudiss tu. Watu wanavyodhulumu mdiss Magufuli na kumpa character assassination inasikitisha sana. Watu wanasema awamu hii watu wanatekwa sana Magufuli dictator. Niwakumbushe tu, Dr. Ulimboka aling'olewa meno awamu ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

    [QmoUOTE="Geniuss, post: 32893069, member: 534572"] Niliwahi kusema kuhusu kigogo Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan. Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali. Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

    Niliwahi kusema kuhusu kigogo Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan. Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali. Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants Wa social media aliye nje ya mfumo ,inatoa mwanya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanatumia simu za wasaidizi wao

    ..
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tuna uranium tuanze kuitumia

    Wanajamvi, Ni muda Sasa mataifa ya magharibi yamezuia maendeleo yetu mengi Kwa kigezo cha mazingira na kulinda urithi Wa Dunia. Kwa umeme wa uhakika naomba serikal ianzishe mradi Wa kufua umeme Kwa kutumia uranium ambayo itatupa nuclear energy. Tunajua nuclear energy kutokana na uranium...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Urais miaka saba

    WanaJF, Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta. Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kinara unyanyasaji Wa informers

    Naandika haya si kuitetea serikali ya Tanzania Kwa tuhuma za kunyanyasa waandishi . Edward Snowden, former intelligence agent Wa USA alikimbilia Russia baada ya kuvujisha taarifa kuwa serikal ya Marekan huwarekod raia wake ,na hata viongoz Toka mataifa Rafiki kama ufaransa,uk na ujeruman...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ya ANC kuikumba CCM

    Am sorry wananchi, I bring to you a very disturbing news ,hasa Kwa makada wenzangu. Ukweli ni kwamba, ndani ya CCM Kwa Sasa ni either upo 100% upande wa JPM au 100% Kwa akina Malamba. The bad news is watu hata hawana wasiwasi kujitambulisha kuwa wapo mlengo Wa akina Nape au Malema Wa Tanzania...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Real game of throne ndani ya CCM

    Ukiangalia namna JPM alivyo shift kutoka kumlaumu Lowassa na Rostam mpaka kuja kuwa closest right hand , ni wazi anachokitafuta ni ku neutralize effect ya kundi la Membe. JPM hakua na kundi lakin game lilivo Kua likienda angepoteza pambano. Kaona awavute karibu Lowassa na Rostam of which ni...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Creating internal crisis to confuse the opponent

    Ukweli Kwa mujibu Wa muono wangu ,juu ya kinachodhaniwa kuwa ni mgogoro ndani ya CCM. Kama alivyo iokoa CCM mwaka 2015 ,bwana Lowassa ndivyo 2020 bwana Membe atakavyoiokoa tena, Migogoro mingi ndani ya CCM sio halisi, kumbuka hiki ni chama chenye makachero wengi sana , na wengi wapo tayar Kwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Phone voice tapping kuua kabisa wapinzan uchaguzi mkuu 2020

    Wakati wapinzan wakichekelea kuona mawasiliano ya baadhi ya wanaccm wanaodhaniwa kuwa kinyume na maendeleo ya awamu ya tano, Ni jambo wanalopaswa kujiuliza Je mbowe karekodiwa mara ngap ? Mnyika karekodiwa mara ngap ? Wapinzan Kwa ujumla wamerokodiwa mara ngap.? Kipindi cha uchaguzi Yatamwagwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana busara lakini ana akili nyingi mno!

    Wanajamvi Watu wengi wanashindwa kuwaelewa serikal ,eti Kwa nn wanashindwa kumdhibiti Lissu. Wengi wetu tunashindwa kutofautisha Akili na busara, nikweli yawezekana Lissu asiwe na busara kubwa sana maana busara yaja kutokana na umri na uzoefu. Lakin Lissu ana Akili nyingi mno tena mno,akili...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Uongo na ukweli Wa Tundulisu

    Nimeona wananchi wakawaida na wasio Wa kawaida Kwa maana ya viongozi ,wamejitosa kujibu hoja za tundulisu .wengi hasa vijana wenzangu wakimkosoa vikali na kusema analisaliti taifa. Lakin wengi pia wanamuunga mkono Kwa kauli zake. Niulize maswali elekezi machache. Kama ungekua Tundulisu Leo ukiwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini simwogopi Rais Magufuli

    Hahahahaahaaa ,mkuu ni mseven sorry nilichapia
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini simwogopi Rais Magufuli

    Kuna hofu isiyokuwa na msingi imetanda Kwa baadhi ya wananchi Kwa Sasa, wengi wamejawa na hofu hasa juu ya mustakabari Wa taifa letu. Watu wengi hawaamini kama Rais atatoka madarakani. Tuseme Mimi sio kiumbe cha ajabu niijuaye kesho ,lakin nina sababu hizi za kutomuogopa Rais bali namheshimu...
Back
Top Bottom