Real game of throne ndani ya CCM

Real game of throne ndani ya CCM

Geniuss

Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
28
Reaction score
202
Ukiangalia namna JPM alivyo shift kutoka kumlaumu Lowassa na Rostam mpaka kuja kuwa closest right hand , ni wazi anachokitafuta ni ku neutralize effect ya kundi la Membe.
JPM hakua na kundi lakin game lilivo Kua likienda angepoteza pambano.
Kaona awavute karibu Lowassa na Rostam of which ni hasi na chanya na group la Membe.
Kwa maana nyingine Lowassa na Rostam kandarasi yao ya kurudishwa ni ku neutralize kundi hili la Membe.
Anaye haribu mchezo ni Musiba, huyu jamaa ana poor strategy of attack ,namna yake ya ku attack ana create na ku unify zaid maadui.
Mfano anaposema wewe membe ulishindwa kuwa Rais kaka yako Wa damu akiwa Raisi, basically anamwingiza JK kwenye hii Vita.
As you know JK is the master of these dirty games ,ana masters ya ku neutralize migogoro kama hii, juzi Musiba kaomba radhi fasta baada ya taarifa kuenea Kua ana insult maraisi wastaafu.

Mapambano ni makali lakin Musiba ameamsha mbwa mwitu ambao hawakutaka kushiriki kwenye game of throne hii,
Tuhuma Kwa mmiliki Wa Jamii forum na wengine ,kuwa wanataka kumuua ni kilelelezo tosha Kua huyu jamaa either hakujua hili game lake lingeenda this far au he is stupid.
Musiba huenda anayoyasema yakawa yote uongo ,Jana anawatishia watu anasema wataota makalio makubwa au wataamka na wanja midomoni , this is purely desperation, na Kwa wanaojua mind game Na psychology kidogo ,his game is over.
Kwa maana nyingine ameonesha kuwa yeye ni mshirikina ,kitu ambacho hua ni last drop Kwa fighter to fall to.
Mwisho ni wadokeze tu , JPM still needs JK sana kuliko ,iwe JK mwema au JK mwovu , in any case JK deserves a medal of Honor Kwa service yake Kwa nchi hii.
Nchi hii ukiambiwa uwe Rais Kwa week Moja tu , usipokua sawa kichwan unaweza kuagiza wafe robo ya watu kisa wanakupinga, ts not easy.
Leo hii akina kinana cjui nape tunawaona wehu sana ts ok.
Lakin jiulize wewe hapo kama unhefunuliwa moyon mwako ,unawaza nn kuhusu utawala Wa awamu ya tano ?
Vijana wangap hawana ajira ?
Wafanya kazi wangap hawajapandishwa madaraja ?
Wastaafu wangap hawajalipwa mafao?
Yaan pesa zote hizo zimeibiwa na January ? Kweli ?
Sio kweli maisha ni magumu kweli kweli ,hata hao wanaotetea kimoyo moyo wanataman sana akina kinana wachochoee moto.
The truth should be spoken , JPM ni kiongoz mzuri lakin maisha ya watu wake sio mazuri .
Inawezekana wanaomzunguka wanakula vizur ,Wana ajira nzuri etc
Lakin si hivyo Kwa majority.
Na kama ni kweli watu Wana majukumu ,Kwa nn Wana mhujumu?
Ni muda Sasa wakunitafakari, hii habar ya Musiba ,vibajaji ,Musukuma yaan group la standard seven leavers kuwajibia watanzania hatutaki.
I see huko huko CCM kuna mtu hataamin kitakachotokea ,hata akiroga
 
Musiba : Huu ufisadi ulifanyika kwenye serikali ya akina Membe

Mwandishi Deutchwelle : Lakini hata Magufuli alikuwemo kwenye serikali iliyopita

Musiba: Magufuli hakuwa karibu na raisi aliyepita, Membe ndiye aliyekuwa karibu na raisi aliyepita

Mwandishi Deutchwelle : Kwa sababu Membe alikuwa waziri wa mambo ya nje siyo?

Musiba: HEBU TUACHANE NA HAO MAFISADI!!

Ni dhahiri Musiba na wanaomtuma wana lengo la kuondoa ushawishi wa Kikwete ndani ya CCM lakini wanahisi kwamba kwa kumuendea moja kwa moja ni ngumu kidogo kwa sababu mizizi yake ndani ya CCM ni mirefu kwa hiyo inabidi washambulie rafiki zake wa karibu kwa uwazi ili kumuisolate huku yeye Kikwete akipigwa madongo indirectly huku wakijifanya kukana kumtukana
 
Ukimuondoa Waziri Mkuu, mawaziri wengine wote ni sawa.

Ndiyo maana hakuna anayefanyiwa confirmation bungeni.

Na kwa kanuni za "collective responsibility", serikali yote hufanya maamuzi pamoja.

Mtu muajiriwa wa serikali asiyekubali maamuzi ya serikali, anaweza:-

1. Kujenga ushawishi ndani ya serikali ili maamuzi yabadilishwe.
2. Kujiuzulu ili asiwe sehemu ya maamuzi hayo.
3. Kukubali kubaki serikalini na kuwa sehemu ya maamuzi hayo.

Maamuzi ya ufisadi wowote kwenye serikali ya Kikwete Magufuli hakuchukua option 1 wala 2 hapo juu. Kachukua option 3.

Kwa hivyo na yeye ni sehemu ya maamuzi hayo.

Sasa Musiba kwa ujinga au kwa makusudi anamtenga Magufuli na maamuzi yake ndani ya serikali ya Kikwete.

Akibanwa hata pumzi ya kujibu maswali hana.

Bloody chicken.
 
Joto ni Kali sana jikoni wapishi wanavumilia tu .Joto ni Kali sana jikoni wameamua kutumia ulozi sasa .jiko-ccm .Ulozi wa ccm -waganga mia tisa wa gambushi bariadi .
 
Tunahitaji mabadiliko chamani,waambieni hao walozi kuwa UCHAWI HAUENDI KWA MENTAL
Nalog off
 
Km hii ni Game of Throne bila shaka Jiwe ni km yule Malikia Cersei Lenister anaye ongoza kwa ubabe kisa yeye ndie mwenye mamlaka. Membe ni km Jon Snow, anaanza ku gain support hadi kwa wapinzani kimyakimya huku malikia akijitamba hakuna wa kumdondosha. Tusishangae ikaisha km movie lenyewe aliyerithi kiti cha ufalme akawa mtu mwingine ambaye hakutegemewa km 2015.
 
Haha ndio hivyo hii GOT ilitokea 2015 ..aliyechukua kitu ni mtu asiyetegemewa kabisa..

Na sasa hivi utashangaa kiti anabeba mtu kama Jafo ambaye hakuna anayemuwaza
 
Ukiangalia namna JPM alivyo shift kutoka kumlaumu Lowassa na Rostam mpaka kuja kuwa closest right hand , ni wazi anachokitafuta ni ku neutralize effect ya kundi la Membe.
JPM hakua na kundi lakin game lilivo Kua likienda angepoteza pambano.
Kaona awavute karibu Lowassa na Rostam of which ni hasi na chanya na group la Membe.
Kwa maana nyingine Lowassa na Rostam kandarasi yao ya kurudishwa ni ku neutralize kundi hili la Membe.
Anaye haribu mchezo ni Musiba, huyu jamaa ana poor strategy of attack ,namna yake ya ku attack ana create na ku unify zaid maadui.
Mfano anaposema wewe membe ulishindwa kuwa Rais kaka yako Wa damu akiwa Raisi, basically anamwingiza JK kwenye hii Vita.
As you know JK is the master of these dirty games ,ana masters ya ku neutralize migogoro kama hii, juzi Musiba kaomba radhi fasta baada ya taarifa kuenea Kua ana insult maraisi wastaafu.

Mapambano ni makali lakin Musiba ameamsha mbwa mwitu ambao hawakutaka kushiriki kwenye game of throne hii,
Tuhuma Kwa mmiliki Wa Jamii forum na wengine ,kuwa wanataka kumuua ni kilelelezo tosha Kua huyu jamaa either hakujua hili game lake lingeenda this far au he is stupid.
Musiba huenda anayoyasema yakawa yote uongo ,Jana anawatishia watu anasema wataota makalio makubwa au wataamka na wanja midomoni , this is purely desperation, na Kwa wanaojua mind game Na psychology kidogo ,his game is over.
Kwa maana nyingine ameonesha kuwa yeye ni mshirikina ,kitu ambacho hua ni last drop Kwa fighter to fall to.
Mwisho ni wadokeze tu , JPM still needs JK sana kuliko ,iwe JK mwema au JK mwovu , in any case JK deserves a medal of Honor Kwa service yake Kwa nchi hii.
Nchi hii ukiambiwa uwe Rais Kwa week Moja tu , usipokua sawa kichwan unaweza kuagiza wafe robo ya watu kisa wanakupinga, ts not easy.
Leo hii akina kinana cjui nape tunawaona wehu sana ts ok.
Lakin jiulize wewe hapo kama unhefunuliwa moyon mwako ,unawaza nn kuhusu utawala Wa awamu ya tano ?
Vijana wangap hawana ajira ?
Wafanya kazi wangap hawajapandishwa madaraja ?
Wastaafu wangap hawajalipwa mafao?
Yaan pesa zote hizo zimeibiwa na January ? Kweli ?
Sio kweli maisha ni magumu kweli kweli ,hata hao wanaotetea kimoyo moyo wanataman sana akina kinana wachochoee moto.
The truth should be spoken , JPM ni kiongoz mzuri lakin maisha ya watu wake sio mazuri .
Inawezekana wanaomzunguka wanakula vizur ,Wana ajira nzuri etc
Lakin si hivyo Kwa majority.
Na kama ni kweli watu Wana majukumu ,Kwa nn Wana mhujumu?
Ni muda Sasa wakunitafakari, hii habar ya Musiba ,vibajaji ,Musukuma yaan group la standard seven leavers kuwajibia watanzania hatutaki.
I see huko huko CCM kuna mtu hataamin kitakachotokea ,hata akiroga
Umeandika vizuri sana ila umeharibu pale uliposema JpM ni kiongozi mzuri. Huyu jamaa nafasi ya juu kabisa ambayo ingemfaa ni kuwa waziri mkuu ili aweze kuwa controlled na aliye juu yake kinyume na hapo ni matatizo kama mnayoyaona
 
Chambuzi kama hizi ndio tunazitaka!
 
Back
Top Bottom