Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Chadema bado kinahitaji fedha kujiendesha, hizi propaganda zenu za bilioni 1.9 hazitasitisha shughuli za Chadema. Wote kwenye akili wanaelewa jinsi gani ccm inavyohaha kufarakanisha Chama hiki ambacho wanaamini kuwa ipo siku kitakufa.
Kama wametumia zaidi ya trilioni 2.4 kwenye mambo yasiyojulikana, wameteka watu wetu na kuumiza na kuua, kuwanunua madiwani na wabunge, kuwaonga wanachama wetu vyeo lakini Chadema bado ni msitu mnene, tujiulize kwa nini propaganda nyingi zisiwepo. Kama mwanachadema stand for your right
Imehama 1.5T imefikia 2.4T mwakani mtasema 3.5T
 
[QmoUOTE="Geniuss, post: 32893069, member: 534572"]
Niliwahi kusema kuhusu kigogo
Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan.
Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali.
Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants Wa social media aliye nje ya mfumo ,inatoa mwanya mkubwa Wa kushindwa ku control social media
Sasa wapinzan wakadhan wamepata mbadala Wa akina Mange , kumbe walikua wamepata Trojan horse.
Wengine walianza kumpa endorsement Kibao huko Twitter,
Kama ilivo Kwa sleeper agents ,kigogo ameanza kazi aliyopaswa kuifanya rasmi,
1.ana orchestrate mgogoro Wa act na chadema
2. Ana orchestrate mgogoro Wa wapinzan binafsi ,mfano nondo na yerico
3.ana vunja back borne ya upinzan, baada ya kupata iman ya wafuasi hasa wapinzan ,Sasa anajua anaaminika, anaanza kutema sumu za maana
Kila asemacho asilimia kubwa wanaamin.
Na In short kigogo ni 24 hrs yuko active ,unadhan ni robot ?
Watu Wana shift za kuandika kwenye page ya kigogo , ni office sio mtu
[/QUOTE]
Moods mbona mnaunganisha threads zangu nyie Kila muda ,sio vyema
 
Kweli kabisa kama wale wapumbavu wanao aminisha kuwa jiwe anatimia pesa yake, hivyo hakuna haja ua uchaguzi, upinzani yeye atosha.
Halafu kuna wapumbavu wengi hapo wameaminishwa chama huendeshwa kwa pesa binafsi za Mbowe,mara anakikopesha chama.

Kutegemea et hao jamaa wakishika dola kutakuwa na jipya ni zaidi ya ukichaa.
 
Ok asante nilikuwa sijui kumbe hata kugombea bia bar nayo ni vita
Nimekulazimisha uamini nilichokiandika hapa? Na Kwako Wewe neno Vita unaelewa tu ni mpaka Watu wapigane au wagombane kwa Kutumia Silaha? Pathetic.
 
Kama hawakatwi wanapewa pesa yote, nini kinawazuia wasizipeleke wenyewe kwa mfumo mwingine?
Makato kwa mtumishi ni makubaliano ya kisheria ikitokea malalamiko lazima kuzingatia.
Kwa hio unakiri kuna malalamiko!? Je ni akina nani waliolalamika kuhusu hilo kwa ndugai!?
 
Tuwaulize wwnyewe mazee, maana maandiko ya Mdee yanathibitisha kuna masnitch hawataki kuchangia chama ndio waliopeleka habari kwa spika...
Kwa hio unakiri kuna malalamiko!? Je ni akina nani waliolalamika kuhusu hilo kwa ndugai!?
 
Tujifunze kuvumilia pale viongozi wetu wapendwa wanapokosolewa

-Ukiwa upinzani ukimkosoa Mbowe unashambuliwa ila ukimkosoa JPM na CCM hakuna shida

-Ukiwa Ccm ukimkosoa JPM unashambuliwa ila ukimkosoa Mbowe na upinzani hakuna shida

Hii tabia inatuharibu badala ya kutujenga
 
Kigogo ni double agent mzuri sana!
View attachment 1212319

CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.

Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.

Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.

Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.

Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom