Ya ANC kuikumba CCM

Ya ANC kuikumba CCM

Geniuss

Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
28
Reaction score
202
Am sorry wananchi,
I bring to you a very disturbing news ,hasa Kwa makada wenzangu.
Ukweli ni kwamba, ndani ya CCM Kwa Sasa ni either upo 100% upande wa JPM au 100% Kwa akina Malamba.
The bad news is watu hata hawana wasiwasi kujitambulisha kuwa wapo mlengo Wa akina Nape au Malema Wa Tanzania.
Shida inakuja Kwa Pole Pole ,anapata taabu kidogo kusimama jukwaa Moja Na mtu aliyembrand kama Malaya Wa kisiasa ,na pia hawez kuside na akina kinana.
Kundi hili lisilo popote wao hawafungamani na upande wowote.
Fun eeh, wanaamini the clock will tick and everything over sudden will change, mpasuko Wa maana ,uhasama Wa moto unawaka.
Ndio maana hata Membe hana wasiwasi alikiri sauti ilikua yake meaning content pia hana tatizo nazo.
The guy is cool ,no pressure na kadiri cku zinavoenda ts too late Kwa whistle blower kama Musiba kuamshana.
Sasa hivi ni mbwai mbwai ,watu wako tayar rasmi kugawana fito,wanasema either tupate sisi uraisi ujao au tukose wote.
Kundi hili tayar Zanzibar is done ,mtu wao upande Wa Zanzibar ashaandaliwa na ana mvuto Wa kisiasa ,kuiteka CCM Zanzibar kumeumiza sana kundi la pili .
Angalizo, gombaneni lakin msitusumbue yakiwashinda
 
Takataka za usiku wa manane,
endelea kuota na kina Malamba wako,mmepukutishwa vyeo na fedha za ufisadi,mtaishia kolokoloni.
 
CCM inajichokea kwa vurugu za ndani kwa ndani wakati ambapo upinzani nao haujasimama imara hata kama harakati zao zimedhibitiwa kinyume na sheria. Mvurugano huu wa CCM ulipaswa kutupa mabadiliko ya maana nchini mwetu, lakini naona ni mwendelezo wa kuibuliwa matukio ambayo hudumu kwa kipindi kifupi na kupotea wakati maisha ya watanzaia baaado hayabadiliki kwa lolote.

Ufisadi upo palepale, upatikanaji wa elimu ya juu tabu tupu, imani kwa vyombo vya usalama inapotea, ajira ndo kabisaa, watumishi wa umma nao kama wamezoea sasa maisha ya kazi bila motisha, bei za mazao ya wakulima hazina mvuto na hakuna la maana la kuvutia uwekezaji katika kilimo.... Mfumo wa elimu umeendelea kujenga wategemezi zaidi... Tasnia ya habari nayo ikidhohofu kupita maelezo...

Visa na mikasa mipya kila siku vinaibuliwa ili kuikanganya jamii isiwe na dira au maono ya kujikomboa mikononi mwa viongozi dhaifu. Kinachoimarika kwa sasa ni kujikombakomba na unafiki uliopindukia miongoni mwetu.

Safari bado ndefu na inarefushwa kwa makusudi.
 
Don't underestimate CCM, hata kama mtu haisapoti lakini ukweli utabaki palepale. CCM is one of the most stable, organized and disciplined political parties not only in Tanzania but also globally

Kwa iliyoyapitia ingekua chama kingine iwe hapa nchini au kwengineko kingeshasambaratika muda mrefu

Ndio siku zote nasema CCM sio chama dola bali CCM ndio DOLA yenyewe, waliolala na waamke
 
Am sorry wananchi,
I bring to you a very disturbing news ,hasa Kwa makada wenzangu.
Ukweli ni kwamba, ndani ya CCM Kwa Sasa ni either upo 100% upande wa JPM au 100% Kwa akina Malamba.
The bad news is watu hata hawana wasiwasi kujitambulisha kuwa wapo mlengo Wa akina Nape au Malema Wa Tanzania.
Shida inakuja Kwa Pole Pole ,anapata taabu kidogo kusimama jukwaa Moja Na mtu aliyembrand kama Malaya Wa kisiasa ,na pia hawez kuside na akina kinana.
Kundi hili lisilo popote wao hawafungamani na upande wowote.
Fun eeh, wanaamini the clock will tick and everything over sudden will change, mpasuko Wa maana ,uhasama Wa moto unawaka.
Ndio maana hata Membe hana wasiwasi alikiri sauti ilikua yake meaning content pia hana tatizo nazo.
The guy is cool ,no pressure na kadiri cku zinavoenda ts too late Kwa whistle blower kama Musiba kuamshana.
Sasa hivi ni mbwai mbwai ,watu wako tayar rasmi kugawana fito,wanasema either tupate sisi uraisi ujao au tukose wote.
Kundi hili tayar Zanzibar is done ,mtu wao upande Wa Zanzibar ashaandaliwa na ana mvuto Wa kisiasa ,kuiteka CCM Zanzibar kumeumiza sana kundi la pili .
Angalizo, gombaneni lakin msitusumbue yakiwashinda
Acha kuota amka utajikojolea mkuu
 
CCM ni chama chama cha walami yaani ni majitu yanayojifanya ya Mjini kwenye lami ngoja yapate matatizo utaona yanavyohangaika utadhani kuku aliyegeuziwa kibra akachoropoka kifo
 
Kama juzi niliona vifaru wakimwaga oil nabkuweka nyingine nadhani kutakuwa na shughuli mda si mrefu ya kulima
 
Back
Top Bottom