WanaJF,
Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta.
Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa
Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa urais, lakin Rais akae miaka saba madarakani baada ya miaka saba anatafutwa Rais mwingine.
Kwa maana hii , Kwa Sasa Magufuli angetawala mpaka 2022 then tutafute Rais mwingine atakaye kaa Kwa miaka saba tu.
Wabunge waruhusiwe kuchaguliwa Kila baada ya miaka saba Kwa ukomo Wa term mbili tu,tusiwe na wabunge Wa kukaa miaka 20 jimboni.
Ukomo Wa urais kwa term Moja ya miaka saba ni Bora kuliko miaka 10 ya uraisi.