Wanajamvi,
Ni muda Sasa mataifa ya magharibi yamezuia maendeleo yetu mengi Kwa kigezo cha mazingira na kulinda urithi Wa Dunia.
Kwa umeme wa uhakika naomba serikal ianzishe mradi Wa kufua umeme Kwa kutumia uranium ambayo itatupa nuclear energy.
Tunajua nuclear energy kutokana na uranium itawasha si tu Tanzania Bali tutakua na uhakika Wa kuuza umeme hata nchi jiran.
Pia tusijisahau sana Marekan kajitoa kwenye mkataba unaozuia utengenezaji Wa siraha za nuclear hivi majuzi , ni muda Sasa mataifa ya Africa hasa Tanzania tuwe a nuclear power nation pia.
Dunian hapa mwenye nguvu ndie anauetawala,najua watataka kutuwekea sanctions lakin tunaweza kutumia upenyo huo kunegotiate a better deal ili tusiendelee na utengenezaji Wa siraha kali.
Pia tufanye public display ya military power hasa tukishamiliki siraha kali zaid Africa nzima kama nuclear powered weapons.
Tusilale ,ni muda Wa kuamka kijeshi pia