Recent content by GENERARY

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

    Nakubali hoja hii
  2. G

    JamiiForums Tanzania TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

    changalamacho watakaposhindwa wasisingizie tbc iliwabania
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni vyema mwanaume kufunga ndoa kwao mwanamke?

    Hilo ni kawaida kabisa kwani baadhi ya tamaduni ndoa hufanyika nyumani kwa mwanamke kwani ndiko unakomtoa. Ingawa bado mnaweza kukubaliana hii inategemea utamaduni wao. Kama unampenda huyo mke huwezi kujali mazingira yake duni
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nimeokota cheti za kuzaliwa maeneo ya Kijitonyama Dar

    kisheria salimisha polisi
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    jamani wanaume kujisafisha ni tofauti na wanawake, mwanaume anakung'uta tu inatosha mwanamke utaweza? mazingira ya uchafu kwa wanaume hayana uhusiano na haja ndogo labda iwe tabia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Mdahalo unaendelea sasa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutafsiri maneno haya

    "kujichukulia sheria mkononi" kwa lugha ya kisheria kwa kiingereza yanasemekaje!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    asante mkuu
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    Amepatika sasa, asante for your concern!
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    Na ashukuriwe Mungu kwa kusaidia kumpata kwenye kituo cha polisi urafiki. Tunawashukuru kwa maombi yenu pamoja na best wishes. May the Lord bless you!
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    Na ashukuriwe Mungu amepatika sasa kituo pclisi urafiki, Asanten pia kwa kubeba mzigo katika maombi :lieni pamoja nao waliao, furahini pamoja nao wafurahio" God bless you
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    Asante kwa best wishes, amepatikana sasa kituo cha polisi urafiki, Atukuzwe Mungu
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    Asanteni kwa mawazo yenu, tunaendelea pia kwa juhudi za kila aina
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

    thanks God kwa kupatikana
  15. G

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Research tittle

    Unasoma chuo gani usaidiwe kwa urahisi
Back
Top Bottom