Msaada juu ya Research tittle

ASIKARI

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
92
Likes
0
Points
13
ASIKARI

ASIKARI

Member
Joined Oct 17, 2012
92 0 13
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu nasoma community development
Naomba msaada kwa wana jamvi wenzangu juu ya tittle ya research ya kufanya...naomba kusaidiwa current issues ambazo zita niongoza katika hili.
MSAAADA
 
G

GENERARY

Member
Joined
Aug 31, 2012
Messages
96
Likes
0
Points
13
G

GENERARY

Member
Joined Aug 31, 2012
96 0 13
Unasoma chuo gani usaidiwe kwa urahisi
 
paparazzi

paparazzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Messages
573
Likes
36
Points
35
paparazzi

paparazzi

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2013
573 36 35
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu nasoma community development
Naomba msaada kwa wana jamvi wenzangu juu ya tittle ya research ya kufanya...naomba kusaidiwa current issues ambazo zita niongoza katika hili.
MSAAADA

Umeingiaje chuo kikuu???
Ulisoma primary, o'level, A'level, kwanini haukudisco tangu 1st year...???

elimu yako ni shombo isiyokomboleka kwa povu la Komoa...

Does it mean that your oblongata is no where to allude all pile of issues around TZ...
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,920
Likes
2,917
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,920 2,917 280
Hebu tafuta mwenyewe kwanza. Soma magaazeti(sio ya udaku) nenda maktaba kachukue research walzofanya wenzanko,cheki kipengele cha recomendations for the future researchers.
 
ASIKARI

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
92
Likes
0
Points
13
ASIKARI

ASIKARI

Member
Joined Oct 17, 2012
92 0 13
Umeingiaje chuo kikuu???
Ulisoma primary, o'level, A'level, kwanini haukudisco tangu 1st year...???

elimu yako ni shombo isiyokomboleka kwa povu la Komoa...

Does it mean that your oblongata is no where to allude all pile of issues around TZ...
Kama huwezi kutoa msaada kaa kimya
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
15
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 15 0
do you mean research title?
 
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
3,653
Likes
94
Points
145
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
3,653 94 145
Umeingiaje chuo kikuu???
Ulisoma primary, o'level, A'level, kwanini haukudisco tangu 1st year...???

elimu yako ni shombo isiyokomboleka kwa povu la Komoa...

Does it mean that your oblongata is no where to allude all pile of issues around TZ...
Umechemka, Boiling point 100000000000F
 
Forum statistics

Threads 1,252,299
Members 482,076
Posts 29,803,122