Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

Kwani hiyo niliyotoa haina mantiki? au mantiki ipi unamaanisha mkuu
We need to be flexible ili kubana matumizi yasiyo ya lazima, hayo mambo ya rule and procedure ndo yanasababisha kuwa na bei za serikali na bei za mtaani kwa lile lisheria la manunuzi, tutalibomoa soon. Hatuwezi kupoteza pesa za umma kwa kisingizio cha sheria na procedure

Mkuu hoja yako imekosa uhalali
Kumbe mlikua mnasema mtaimarisha utawala wa sheria wakati wa kampeni tu

Mwenye zile video za promo za magufuli akiomba kura atuwekee hapa

Hii ilianzishwa na sheria
No state no Laws

No laws no state
 
Kama nilivosema mwanzo, shida yenu mnakariri sheria
Sheria inarahisisha maisha, siyo kucomplicate
Huwezi kuitisha bunge kuja kuapisha watu 3, huo ni ujuha, uko ni kukariri procedure na kukosa flexibility

Suala hapa ni cost implication, underline this point utaona mantiki
 
Kwa masikitiko makubwa nimejitokeza kulaani kitendo cha A.G Masaju kutotimiza majukumu yake hasa katika kumshauri RAIS masuala ya KISHERIA
TUMESHUHUDIA maajabu hapa Tanzania ya mawaziri ambao hawajaapa bungeni kuapishwa kuwa mawaziri

Hii nini tafsiri yake ni kwamba A.G hamshauri RAIS kama katiba inavyomtaka

Hujui kitu chochote wewe. Na kama mwanasheria basi ni kanjanja. Nenda ukaulize
Rais hajakosea
 
Hujui kitu chochote wewe. Na kama mwanasheria basi ni kanjanja. Nenda ukaulize
Rais hajakosea

Nikaulize wapi UNATETEA UJINGA

NYIE NDO MNAMPOTOSHA RAIS

AFATE SHERIA NA KANUNI ZA NCHI

HIVI wewe hushtuki km kuna something went wrong??
 
Nikaulize wapi UNATETEA UJINGA

NYIE NDO MNAMPOTOSHA RAIS

AFATE SHERIA NA KANUNI ZA NCHI

HIVI wewe hushtuki km kuna something went wrong??

Uliza vizuri. Huwezi kuanza shuguli za pale bungeni kama hujaapishwa. Haihusiani na uwaziri
 
katiba inasema waziri ni lazima awe mbunge, na mbunge awe wa kuchaguliwa ama kuteuliwa hawezi kufanya kazi za mbunge mpaka aapishwe.
jambo ambalo halikufanyika kwa wateule wa magufuli.

Kwani wenyewe wameanza kufanya kazi za kibunge?
 
Japokuwa hili ni jukwaa la siasa, lakin sidhani kama ni sahihi kila kitu kukiangalia ktka upande au wa ccm au cdm, nadhan tuna kaz kujua kuwa lengo kuu ni kusonga mbele tukiwa na aman sio kubishana bishana kama mafala. Hoja kama hii ni upuuzi kwani ww una uhakika gani kuwa hakushauriwa, na hata kama angeshauriwa asifuate ina madhara gani kama nchi,yan tushindwe kuangalia watu wanaovunja sheria kwa kuua watu kuhujumu uchumi tuanze kujiuliza eti kuna wazir flan alianza na kiapo cha uwazir badala ya ubunge, shiiiiit!
 
Karibuni wanasheria inafanana na ukomo wa raisi wa zanziba
Wengine miaka 5
Wengine akiapishwa mmoja ndo ukomo wa mwingine
Mbuge kuwa waziri kabala ya kuapishwa
Tupeni mwanga wanasheria
Rais kuteua Wabunge na kuwateua kuwa mawaziri haikuvunja sheria wala katiba ya nchi.Kwanza katiba inamtaka Rais kuteua mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge ambao either ni wa majimbo,viti maalum vya wanawake au wabunge wa kuteuliwa na Rais.Bunge na Serikali ni mihimili miwili tofauti ambapo Mkuu wa mhimili wa Bunge ni Spika ambaye anawaapisha wabunge.Mkuu wa serikali ni Rais ambaye anawaapisha mawaziri.Sifa ya Mtu kuteuliwa waziri ni lazima awe Mbunge lakini mbunge ni nani kwa mujibu wa katiba?Mtu atakuwa mbunge mara baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi kama ni wa majimbo au baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mbunge wa viti maalum au baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.Kiapo cha Mbunge kinamwezesha Mbunge kuweza kuingia Bungeni na kutekeleza majukumu ya kibunge kama kuuliza maswali nk.Waziri anatekeleza majukumu yake mara baada ya kuapishwa na Rais kushika jukumu hilo isipokuwa hataweza kuingia bungeni hadi atakapoapishwa na spika kutekeleza majukumu ya kibunge.
 
Kwa masikitiko makubwa nimejitokeza kulaani kitendo cha A.G Masaju kutotimiza majukumu yake hasa katika kumshauri RAIS masuala ya KISHERIA
TUMESHUHUDIA maajabu hapa Tanzania ya mawaziri ambao hawajaapa bungeni kuapishwa kuwa mawaziri

Hii nini tafsiri yake ni kwamba A.G hamshauri RAIS kama katiba inavyomtaka

Sheria gani imekiukwa???? Ulivyokimbilia ku-post ukaona una hoja!!!!
 
mkuu file tu kesi ya kikatiba mahakamani ili ufafanuzi utolewe maana huenda una hoja
 
Back
Top Bottom