Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,077
1,225
Kwani wewe mama, mtu wa maana kwako tafsiri yake ni ipi? Maana yake iko wapi kama hajui kukojoa kwa usafi? Harufu huletwa na kukosekana usafi na sio kukojoa. Nasisitiza mwambie huyo mwandani wako afueage hilo chupi lake na sio kutulazimisha as if umeshatembea na wanaume wote.

Jasho, kutonyoa, kutofua chupi, magonjwa ya ngozi, govi hivyo vyote vinafanya mtu anuke.

Na wewe usipende kukamatwakamatwa popote unapopatikana. Hao wanaume wako wasiooga kabla ya tendo watakuambukiza magonjwa. Unapaswa kujua kuwa hiyo kitu yako ni delicate kwa hiyo unakubali kuparamiwa hapo hapo ulikokutwa
Calm down
 

GENERARY

Member
Aug 31, 2012
95
70
jamani wanaume kujisafisha ni tofauti na wanawake, mwanaume anakung'uta tu inatosha mwanamke utaweza? mazingira ya uchafu kwa wanaume hayana uhusiano na haja ndogo labda iwe tabia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
ujinga huu, anayesema anaosha dushe baada ya kukojoa anadanganya tu umati aonekane wa maana.. Ujinga huu, uoshe dushe baada ya kukojoa ili iweje? hazikutengenezwa kwa ajili ya kuosha hizi baada ya kukojoa, wewe unakojoaje hadi mkojo urudi juu?? ukimaliza kukojoa kung'uta dushe lako kdg tu mkojo ka umebaki hata kdg utoke wote afu sepa..
huyu aliyempa jamaa BG ana matatizo tu ya akili na jamaa yake mchafu anajikojolea sio kusingizia ati usafi baada ya kukojoa.. au ana jamaa hafui boxer wiki...
 

miss ngatara

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
473
0
Still mnaongoza kwa kuugua UTI na FUNGUS. Acha nikwambie kijana toka Pemba. Unapoosha hicho kibamia chako na maji na ukawa huna taulo la kukausha hayo maji, basi ule unyevu unapopata joto la mwili unatengeneza uvundo ambao unaweza kuwa chanzo kizuri cha magonjwa na ndio maana mnaugua sana fungus

La pili, mnaambiana kwamba ikiwa maji hayapatikani mtumie jiwe au mchanga, this is absurd! Jiwe uliloliokota chini, tena nje ya choo una hakika gani na usafi wake? Wanapodeki chooni maji yakimwagika yanakuja kwenye jiwe lile, ama mwenzako naye alilitumia kujisafishia na kulitupa sasa na wewe...loh!

Usinchoshe buree, hebu 'niwache nipumuwe'
So mkikojoa bila kunawa ndio hampat fangas ha ha ha kwel nyie ni wachafu wazoefu ,mpaka mnautetea uchafu kwa nguvu zote? Na hilo jiwe ulilolisikia au nimchanga na dharura na kuna jins ya kutumia .upo wewe unayetaka kupumzika
 

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,377
0
Lol, kiduchu bana.
Japokuwa huu utaratibu wa kunawa bila sabuni nao huwa unanitatiza. Kuna siku nilimuambia mdada kavaa skirt yake nzuri kachomekea blouse. Namuona ana majo kwenye makalio. Akasema alinawa toilet, nikastuka kimya kimya. Sie wadada tutabeba wet tissues kwenye bags, hatuhitaji sana kunawa na maji. Wakaka huo ni mtihani. Ila inahusu cha chap chap BJ ubakutana na urea jamani?
hata ukinya unajipangusa kwa wet tissue?!!
 

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,377
0
dushe rahisi kusafi, ukikojoa unakunja toilet paper unagusisha mpaka inakauka. wewe kila saa utakaa unamwagia maji dushe na kusugua si mwisho utageuka bwabwa sasa?!...na ule mtindo wa kuokota vijiwe au mkaa kwa kweli si salama hata kidogo, kama maeneo unayotumia hawaweki toilet paper chooni bora ukawa unatembea nazo mfukoni.mimi kwenye kunya bwana, kunya....siwezi kunya bila kuoga. labda niwe naumwa, tofauti na hapo siwezi kunya sehemu ambayo siwezi kuoga, ndiyo maana kunya kwangu ni asubuhi na jioni tu! halafu waddada wenye mikucha mikono yote ogopa sana, wale wakinya hawatawazi wanapitisha tissue tu, wale kutawaza mpaka awe na miadi, NI WACHAFU!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom