Recent content by geee kay

  1. geee kay

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gan za kisheria nizifate Ili kumfungulia kesi huyu mteja?

    Mm nafanya kazi kama nmb wakala, sasa tarehe 26 mwez December, nilijichanganya baada ya kumwekea mteja 500000 nikamwekea 5m, nikamgundua kwa kuwa ni mtu wa karibu akahaidi kurudisha, baadae akaturudishia nusu ya hyo hela baada ya hela kamili, akahaidi nyingine kumalizia lakini saiv anazungusha...
  2. geee kay

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nitumie link ya app ya premier betting jamani
  3. geee kay

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatumbua Wakurugenzi walioshindwa kujibu maswali kwenye Mkutano Mjini Bukoba

    Meaningful learning versus rote learning.
  4. geee kay

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Tayar nawawekea hapa soon
  5. geee kay

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Udsm na Muhas tayar
  6. geee kay

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

    Ukiipata kazi hyo na mm nijulishe maana huwa natafuta pa kuanzia Sipajui japo nishapita JKT
  7. geee kay

    JamiiForums Tanzania Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Hiyo GPA yako ya chuo gan? Udsm huwa wanawapa priority wanafunzi wa hapo hata kama yupo chini ya GPA ya mtu ambaye ametoka chuo kingine but sidhan kama ni fair Sent using Jamii Forums mobile app
  8. geee kay

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Geography na Kiswahili

    Ndugu wana JF nimerudi tena kuomba msaada wenu, wa kunisaidia shule ya kufundisha kwa masomo ya Geography na Kiswahili. Nina shahada ya ualimu(Baed) kutoka chuo kikuu UDSM Sent using Jamii Forums mobile app
  9. geee kay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

    Kimboka hapa buguruni Sent using Jamii Forums mobile app
  10. geee kay

    JamiiForums Tanzania Mwenye data hizi za ufaulu A-level 2017 tujuzane.

    Kaulizia idadi sio rank za division Sent using Jamii Forums mobile app
  11. geee kay

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyuo vikuu: Je, ukasome shahada na chuo gani?

    Usiapply hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. geee kay

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    Na yenyewe ndo ilikuwa imeanzishwa kwenye college ya COAF, imetolewa kwa sababu za kutoendana na nature ya chuo kilivyo. Haijawahi kutoa product yoyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. geee kay

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    MD ndo imezuiwa hii ni kutokana na uwepo wa Mloganzila, baba Jesca alisema haiwezekan waijenge Mloganzila halafu Udsm wanaongezea course ya MD Sent using Jamii Forums mobile app
  14. geee kay

    JamiiForums Tanzania Udahili UDSM tayari umefunguliwa

    Wale wale wa zamani ndo bado wapo Udsm. Na rank imebaki ile ile ya chuo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. geee kay

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Anaenda diploma, degree hawezi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom